Niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Poleni na mihangaiko ya hapa na pale
Nikiwa katika pikipiki ya ofisi mida ya saa nne asubuhi wakati napeleka package kwa wateja X huko...
Habarini za weekend ndugu zangu natumaini nyote wazima wa afya Mungu anatupigania .Pia nitangulize shukran zangu za dhati Kwa Wana Jf wote kokote mlipo duniani.Turejee katika mada.
Nimeamua...
Kuna jamaa yangu ananiambia mara kadhaa amekuwa akiota afanya nilichokiandika hapa juu na mama yake mzazi, na kwa mara ya kwanza usiku wa kuamkia leo kaota anafanya yaleyale na mama mkwe wake...
Wana JF!
Namshukuru Mungu kwa kutujaalia uzima na afya njema! Sifa na Utukufu ni vyake yeye!
Namshukuru Mungu kwa zawadi ya pekee mwanetu Junior hapo kwenye avatar! Mungu mlinde na umpe uhai hata...
Haikuwa makosa vitabu vya dini kumtambua mwanaume kama kichwa cha familia, hii ni kweli na ushahidi wa hilo upo.
Nimekaa mahali hapa nakunywa maji kama rejeta nikisindikizia na chipsi mayai...
Ndugu yako wa damu baba mmoja mama mmoja anaweza kuwa mbaya na katili kwako. Hata yule ambaye mko baba/mama mmoja anakuwa katili dhidi yako na asikupende abadani. Wanaume wenzangu tuwekeze kwa...
Haka kabinti nilikatongoza mara mbili, kalikataa kabisa kwakuwa mimi ni shemeji yake. Sasa naona tabia yake ile ya kuniomba nimnunue hiki mara nimtolee pesa ya mchezo, mara ya kula naona bado...
Habari yako,
Sorry leo nipo hapa katika jukwaa hili naomba ushauri kuhusiana na hili ninalolileta kwako muda huu.
Naitwa Mr George Francis kwa jina maarufu. Kuna dada mmoja anaitwa Latipha...
Habari za muda huu wadau; bila kupoteza muda niende kwenye mada! katika pitapita zangu wikiendi iliyopita nikabahatika kuopoa dada poa bei yake haikuwa mbaya sana nililala naye usiku mzima...
Habari gani ndugu zangu wasaka tonge wenzangu na vigogo pia habari zenu.
Niende kwenye maada, mwanzo naanza ku-date nilikuwa nawafagilia sana wadada wenye chura ya kutosha. Kusema ukweli...
Kuna demu mmoja ambaye alikuwa anadharaulika mtaani kwetu huyo demu alikuwa bad face kinoma Sasa Kipindi wanaume tulikuwa tunamuona wa kawaida saana.
Sasa kuna rafiki yetu mmoja hivi alijitokeza...
Leo nimenijiskia tu kuwapa hongera zenu wanawake wote duniani msiotipiga mizinga ama vizinga vya kijinga jinga. Mara dawa ya mswaki imeisha mara sijui lipstick imeisha mara sijui Rasta mara sijui...
Jamani mwezi wa pili nilitoa uzi kuhusu kutafuta babe, wakaja wengi wazuri. Loh, kumbe ni lichawi! Visa nilivyovipata mpaka niliamua kwenda kwenye maombi.
Akikupigia mkapigana usiku, unamuota...
Wadau habarini,
Wiki ijayo nategemea kufunga ndoa huko Mtwara, sasa nishaurini ni zawadi gani nzuri ya kuwapa wazazi wangu? Na je, kama ni mistari ya biblia, ni mstari gani mzuri unaohusu wazazi?
Kuna watu tokea wayajue mapenzi, hawana raha nayo ni kama wapo ukanda wa vita.
Yamewafanya wawe walevi, wafirisike, wapoteze kazi na marafiki na wamekuwa ni watu wenye misongo ya mawazo.
Ukiwa...
Niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na hili nalo mkalitizame.
Ijumaa ya wiki iliyoisha kulikuwa na ka sherehe uchwara nyumba ya jirani na ninapoishi. Sherehe ilifana kwa...
Nina mshkaji wangu, homeboy wangu kabisa ana mpenzi wake ambaye wamedumu naye kwenye mahusiano kwa takribani miaka 2.
Mwana akaamua ampeleke mtoto kwa wazazi wake huko Tanga kwanjeka. Wazazi wa...
Vita na chuki kwa mke wenza na hawala ni jambo baya linalodhoofisha maisha ya mtu. Kuna haja ya kutambua, mnapokuwa wote mmetongozwa, mbaya wenu ni yule aliyewatongoza.
Neno kusema adui wa...
Msichana wa kizungu : the man loves me a lot he buys me flowers and give me his Time. He cares
"Jamaa ananipenda sana, ananinunulia maua na kunipa muda wake. Anajali.
Mzaramo/Mswahili:
"Jamaa...
Hamna aliojua mwanzoni kwamba it will end into tears, ila nyie mabinti wa Machame Mungu anaona.
"Kwa sababu wote tulikuwa wa tumishi tulikubaliana mshahara wake ufanya maendeleo ya familia na wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.