KWA WANAWAKE TU: Fahamu mbinu za kumpagawisha mumeo ndani ya sita kwa sita asikuache milele

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
3,910
6,706

Katika masuala haya ya mapenzi nimeona ni vyema niaanze kuongea na wanawake kuhusu namna ya kuweza kufanikisha kummaliza mwanaume katika sita kwa sita.

Jambo la kwanza, wanamke unapaswa kuwa jasiri na mwenye kuamini katika kile unachofanya katika mapenzi, ambapo wewe mwanamke unatakiwa mkishafika katika uwanja wenu wa zoezi husika katika siku hiyo. Hakikisha unajitahidi wewe kuanza kumvua nguo mwanaume, huku ukimshika baadhi ya sehemu mbalimbali za mwili wake ambazo unaamini zitamsababishia msisimko mkubwa.

Baada ya zoezi hilo nawe pia (mwanamke) unaweza kutoa nguo zako kisha mkumbatie mmeo, huku mkigusanisha ngozi za miili yenu. Tambua ya kwamba ngozi huwa na mishipa midogo midogo yenye ufahamu ambayo hutoa taarifa mbalimbali za mwili kwenye ubongo, hivyo kitendo cha miili yenu kugusana huchangia kuibua hisia za kimapenzi zaidi.

Unapoona tayari mwanaume yupo tayari katika hali ya hisia kali za kimapenzi, kabla ya kumruhusu akuingilie unaweza kuendelea kumshika baadhi ya sehemu za mwili mfano ndevu, sehemu zake za siri na mkune kwenye viganja vyake na mapaja na n.k.

Fahamu ya kwamba mapaja ya mwanaume huwa na hisia kali, hivyo unaweza kuyashika zaidi kwa ustadi mkubwa, huku ukitumia vidole vyako na utaona akisisimka zaidi.

Sehemu nyingine ambayo itakusaidia wewe mwanamke kuweza kumsisimua vizuri mwanaume ni kwa kumshika maeneo ya kifuani kuelekea tumboni, maeneo hayo huwa na msisimko mkubwa kwa wanaume walio wengi (hapo ndiyo kazi ya kucha inapoonekana sana, sasa usione wenzio wanafuga ukajua urembo).

Eneo jingine lenye hazina kubwa na ya msisimko wa mapenzi kwa wanaume ni sehemu ya uume, ambapo mwanamke huweza kushika ile sehemu ya mbele (kichwa cha uume) ambapo humfanya mwanaume kupata msisimko wa kimapenzi kwa haraka zaidi.
 
Amkenii! Zamu yetu imefika, jinsi ya kutufikisha kileleni.

🔞

BTW! Sisi hatuhutaji hayo, mimi mwanamke akiwa na mbwembwe mingi mzuka unakata. Napenda mwanamke nimkunje kunje mimi, angle yenye nikimweka atoe ushirikiano kidogo. Ili nimsugue vema.
 
Katika masuala haya ya mapenzi nimeona ni vyema niaanze kuongea na wanawake kuhusu namna ya kuweza kufanikisha kummaliza mwanaume katika sita kwa sita.

Jambo la kwanza, wanamke unapaswa kuwa jasiri na mwenye kuamini katika kile unachofanya katika mapenzi, ambapo wewe mwanamke unatakiwa mkishafika katika uwanja wenu wa zoezi husika katika siku hiyo. Hakikisha unajitahidi wewe kuanza kumvua nguo mwanaume, huku ukimshika baadhi ya sehemu mbalimbali za mwili wake ambazo unaamini zitamsababishia msisimko mkubwa.

Baada ya zoezi hilo nawe pia (mwanamke) unaweza kutoa nguo zako kisha mkumbatie mmeo, huku mkigusanisha ngozi za miili yenu. Tambua ya kwamba ngozi huwa na mishipa midogo midogo yenye ufahamu ambayo hutoa taarifa mbalimbali za mwili kwenye ubongo, hivyo kitendo cha miili yenu kugusana huchangia kuibua hisia za kimapenzi zaidi.

Unapoona tayari mwanaume yupo tayari katika hali ya hisia kali za kimapenzi, kabla ya kumruhusu akuingilie unaweza kuendelea kumshika baadhi ya sehemu za mwili mfano ndevu, sehemu zake za siri na mkune kwenye viganja vyake na mapaja na n.k.

Fahamu ya kwamba mapaja ya mwanaume huwa na hisia kali, hivyo unaweza kuyashika zaidi kwa ustadi mkubwa, huku ukitumia vidole vyako na utaona akisisimka zaidi.

Sehemu nyingine ambayo itakusaidia wewe mwanamke kuweza kumsisimua vizuri mwanaume ni kwa kumshika maeneo ya kifuani kuelekea tumboni, maeneo hayo huwa na msisimko mkubwa kwa wanaume walio wengi (hapo ndiyo kazi ya kucha inapoonekana sana, sasa usione wenzio wanafuga ukajua urembo).

Eneo jingine lenye hazina kubwa na ya msisimko wa mapenzi kwa wanaume ni sehemu ya uume, ambapo mwanamke huweza kushika ile sehemu ya mbele (kichwa cha uume) ambapo humfanya mwanaume kupata msisimko wa kimapenzi kwa haraka zaidi.
Hii semina anatoa "mwanaume"
 
Attachments

  • FB_IMG_1665933629360.jpg
    FB_IMG_1665933629360.jpg
    41.5 KB · Views: 15
Back
Top Bottom