Hili ni tatizo linaniumiza kichwa sana, najiuliza kwa hali hii nikioa itakuwaje? Ni miezi miwili tu au mmoja, namchoka kabisa.
Ila wiki chache za mwanzo nakuwa na hisia naye mno, yaani hata...
Soon tutaanza kuona masela wanawinda mende vyooni badala ya mkongo.
Hili pia ni fundisho la kutokuendekeza kula kula ovyo kwa michepuko. Kutoka mende mpaka kuwekewa kinyesi kabisa ni hatua chache...
Kwenye Uzi wangu nilioandika leo asubuhi, nilielezea bayana jinsi ninavyoumia ninapotafakari matendo ya mwanamume anayomtendea mwanamke kwenye tendo la ndoa!
Maumivu yananijia pale ninapomfikiria...
Kuna wanaume na wanawake wana maisha magumu, anafanya uamuzi wa kuvunja mahusiano yake tena wengine kwa mbwembwe na matusi juu, ila baadae anarudi tena na kulilia penzi alilolivunja.
Wapo tayari...
Wakuuu
Hapo juzi ilinilazimu kudandia roli kutoka mkoa A kwenda mkoa B majira ya usiku, safari ilikuwa ndefu na tulikuwa tunabadirishana mawazo na yule dereva.
Kwenye story tulizopiga...
Habari wana jukwaa,
Ni matumani yangu mnaendelea vyema na kila mmoja kwa nafasi yake anautafuta mkate wa siku. Kuna jambo nimejaribu kulifikiria kwa muda na nimeona tushirikiane kwani kuna watu...
Kubali ukatae huyo unayeishi naye si wako. Upo hapo kujisitiri tu uitwe mume wa mtu, mke wa mtu basi. Ndiyo maana umekubali kuvumilia yote.😆 Eti navumilia watoto, navumilia watu wataongea sana...
Huwa nafurahia sana mapenzi yaani unakutana na mwanamke anajifanya anakupenda kumbe anataka kukupiga tukio, kisha na wewe unajifanya umekolea ili na wewe umpige tukio yaani inakuwa full burudani...
Tuko mbali mikoa tofauti, hapa kisanga ndipo kinakuja. Anapenda kupiga piga simu mara kwa mara, sasa mara nyingi najikuta namkatiza ilee.. "Samahani ngoja nitakupigia baadae kidogo".
Kiukweli...
Habarini Wana Jamiiforums,
Mimi ni kijana ambaye nipo kwenye umri wa miaka ishirini ya mwanzo (early 20's), nahitaji mwanamke wa kuishi naye na Mwenyezi Mungu akijaalia kuishi kama mke na mume...
Mbeya, Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu amewataka wanaume kutoa taarifa za ukatili wa kijinsia wanaofanyiwa katika ndoa ili kupata msaada wa kisheria na kisaikolojia...
Habarini za jioni.
Leo nawatukana wanaume wote wanaowapiga wake zao kuwa ni wajinga na wapuuzi, kwa sababu zifuatazo;
Unampigaje mwanamke tena mpaka kumuumiza kabisa, ilhali jioni unakula chakula...
Kuna mwanamke ninafanya naye kazi, sasa mwanamke huyo tayari nimesha mchana mkweli wangu na kwa bahati mbaya alikataa. Nilijaribu kukaza kabisa akasema nimpe muda afikirie. Si unajua vijana sisi...
Wakuu natumaini mko poa. Mimi ni kijana nina umri miaka 30, natafuta mwanamke aliye serius awe mchumba na baadaye Mungu akijalia ndoa. Sina mtoto wala sijawahi kuoa.
Mimi nimejiajiri, mrefu...
Nilikuwa napitia kwa ukaribu sana status zilizowekwa katika page za wasichana as per say! Nimekuta wengi wameandika kwenye kipengele cha relationship "Complicated".
Wale ambao umri wao unaonekana...
Ni mwaka sasa unakaribia kuisha tangu uamue kuniandikia ujumbe wa kuhitaji talaka baada ya ndoa yetu kudumu kwa miaka miwili na miezi minane tu.
Bado nakukumbuka sana mpenzi. Sichoki kukumbuka...
Hili tuliweke sawa kwanza kabla ya yote
Naomba tusome apa
Kisha akamwambia huyo mwanamume, “Kwa kuwa wewe umemsikiliza mkeo, ukala matunda ya mti ambayo nilikuamuru usile; kwa hiyo, kwa kosa lako...
Nimeingia asubuhi hii Zanzibar baada ya kutoka South Africa, kwakweli nimekuja Zanzibar kuangalia fursa za biashara. Nimekuwa nikitamani sana kufanya biashara, na mara nyingi nimekuwa nikitamani...
Habari wandugu?
Hapa juzi kati nimehudhuria harusi moja hivi na ilikuwa poa kabisa. Sasa nilichoshangaa ni pale wakati wa utambulisho!
Bibi harusi wakati anamtambulisha kaka yake, dume zima si...
Nina kimeo changu kinaniendesha mpaka nakosa usingizi, nikitaka kumtimua anatishia kujiua. Sasa sijui anaweza akafanya kweli au mikwara tu, siyo mara moja ni zaidi ya 20, kila akinizingua nikitaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.