Mnaendeleaje? Kisa ni nyama robo kilo tu, nimenunua mboga asubuhi kwenye moja ya mabucha hapa mtaani. Nikamkabidhi aitengeneze kwa ajili ya mchana na jioni.
Sasa mchana wakati tunakula ikatokea...
Waslaam wakuu,
Kuna hili suala ambalo limenitokea mara kadha naomba kuwashirikisha, sijui huwa linawatokea na nyie ama ni mimi pekee yangu tu. Kuna muda ambao una rafiki yako ama mpenzi wako huwa...
Leo ngoja nikupe hii siri.
Maana inakera pale umeshachagua chungwa lako tena la kudumu nalo halafu baada ya kulimenya unakuta halina maji, kavu au sio tamu yani ladhaless.
Ukitaka kupata chungwa...
Wapendwa hamna mwanamke mbaya duniani, mwanamke yeyote ni matunzo tu na namna unaamua kumuweka. Tuacheni ubahili kwa hivi viumbe vinahitaji maisha ya anasa ili uzuri wao ujidhihirishe kweupe...
Wasalaam wazee, natumai muwazima.
Ebwana kule chama cha 'NoFap Challenge' mimi nikiwa kama mwenyekiti leo nimeingia mtegoni. Nimeona niombe ruhusa kabisa kwamba jioni ya leo nitakuwa na kipindi...
Habarini wapendwa......
kwa wale wanawake wote walio kwenye ndoa zenye changamoto . kuna kitu nmekifahamu kuwa kwa nini wanang'anina kuishi kwenye ndoa zenye mtatizo sugu ambayo mwisho wake huwa...
Kwema wazee?
Tuko ukweni huku msibani, wife kafiwa na babu yake. Ila hapa msibani pameshanishinda na natamani kurudi zangu kwangu, yaani wife ni kama hanijui vile, hajui nimekula au sijala, toka...
Kuna wakati hujikuta umeishi kwa kumtegemea mtu pasipo kutarajia
Basi ilikuwa mwaka fulani hivi natoka chuo baada ya kuhitimu masomo Sina cha kufanya wazo likanijia mr pipa si una bro wako...
Love me the way I am. Ni sentensi moja ya kipumbavu sana, wanawake wanatumia hasa pale akijua ana tatizo na hataki kulitatua.
Kuna situation hiyo statement inaweza kua na mantiki mfano una...
Tangu websites za porn zimepigwa ban hapa bongo VPN ilikua ndo mkombozi wetu wanyonge, naomba nieleweke mimi sio member wa CHAPUTA nilikua napita pita tu uko pornhub, xxnx n.k kureflesh akili na...
Salaam Wakuu,
Leo nimekuja na huu mjadala ambao umechochewa na mambo kadhaa ninayoshuhudia au kukutana nayo mtaani.
Binafsi ninaishi katika nyumba ya kupanga yenye watu wengi hivyo nashuhudia...
MADHARA YATOKANAYO NA KUTUMIA VITU VYENYE KEMIKALI KALI UKENI!
✍🏻Uke ni kiungo katika jinsi KE kiunganishacho shingo ya kizazi na kizazi chenyewe. Umeundwa na viungo vingine kamna urethra...
Natafuta mwanaume serious ambaye atakuja Kua mume wangu ndoa awe na umr kuanzia miaka 33 nakuendelea awe mkristo dheebu lolote.
Umri wangu ni miaka 33 mjasiriamali na nina mtoto mmoja. Kama upo...
Kwa uzoefu wangu wanawake karibu wote wenye tuvichwa tudogo yaani ni sifuri kichwani, wanadanganyika kirahisi. Wepesi wakudanganyika na wepesi kuomba msamaha.
Ukimkalisha chini umkanye ni kama...
Hiki kisa hakikunitokea mimi ila mtu wangu wa karibu though sio sana.
Kv aliopoa chura fulani mweupe mwenye wowowo, nadhani ni mwanafunzi wa Mlimani na kwenda naye guest house. Baada ya...
Habari za wakati huu wanajamvi, naandika haya baada ya kufanyiwa kitu ambacho sikukipenda na mwandani wangu na kuna kila dalili ya kuchapiwa na x wa mpenzi wangu. Nilitaka hivi karibuni nimchumbie...
Yaaani nimecheka mpaka nimeona nifanye kushare na ndugu zangu wa umu
Fikiria nimeenda kwenye kabaa fulani cha uswazi sasa mimi ni aina ya wale watu nikiendaga sehemu nakuwaga sina shobo na wadau...
Siku tano zilizopita, mpenzi wangu (mchepuko) alinipigia simu, akiomba anataka tuonane, kwa sababu malaria ilikuwa iko juu sana, kwa hiyo alikuwa anahitaji dozi sahihi ya kuweza kuituliza.
Baada...
Imekuwa desturi mabinti wengi kuleta nyuzi humu jamvini, kwa ajili ya kutafuta wachumba/waume ili kuolewa, lakini wengine wamekuwa wakitoka kapa.
Hivyo kujikuta wanabadili ID mara kwa mara ili...
Habari wanajamvi, kila nikikutana na hizi agenda za ukatili wa kingono hasa kwa mke na mume nashindwa kuelewa vizuri, naomba ufanunuzi wa kina wa hoja.
1:- Nimeoa/umeolewa je inawezekana vipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.