Mwanamke sio mtafutaji bali ni mshauri wa mwanaume mtafutaji

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Hili tuliweke sawa kwanza kabla ya yote
Naomba tusome apa

Kisha akamwambia huyo mwanamume, “Kwa kuwa wewe umemsikiliza mkeo, ukala matunda ya mti ambayo nilikuamuru usile; kwa hiyo, kwa kosa lako ardhi imelaaniwa. Kwa jasho utajipatia humo riziki yako, siku zote za maisha yako. Ardhi itakuzalia michongoma na magugu, nawe itakubidi kula majani ya shambani. Kwa jasho lako utajipatia chakula mpaka utakaporudi udongoni ulimotwaliwa

Mungu apa alikuwa anasema nanani?

Wanawake hawajaumbwa kuwa watafutaji bali ni washauri na wasimamizi wa wawatafutaji
Ukipata pesa mshirikishe mkeo akupe mawazo ya kufanya kitu au ukianzisha biashara mpe mkeo asimamie apo utakuwa imefaulu
Sio wewe uende kutafuta alafu una mwambia na mkeo akatafute pia
Unacho kitafuta utakipata

MUNGU sio pumbavu wa kumuambia mwanaume atakula kwa jasho lake
Wewe jiulize kwanini hakusema mtakula kwa jasho lenu alimpa mwanaume mzigo wote?
Kwasababu alijua akili ya mwanamke iko vipi
Sasa hivi kuna wapumbavu fulani majukumu yao wanawapa wanawake eti haki sawa kwa wote ni haki sawa kwa wanadamu sio kwa Mungu
Siku ambayo mwanamke atampata mwanaume anayejua kusimamia majukumu yake vizuri na kuondoka naye unakuja apa kulalamika eti wanawake sio waaminifu wakati wewe ndo chanzo tafuteni pesa watunzeni wake zenu hilo ndilo jukumu lenu sio kuwapa wake zenu jukumu la kutafuta hiyo sio kazi yao
 
Umeandika kwa hasira na hisia sana mkuu.

Lakini pia wanawake hawa hawa unaowatetea na ku-simp kwao wanataka usawa na wanaume pasu 50 kwa 50. Hii inaleta mkanganyiko kidogo maana hawasemi usawa huo wanaoutaka unaanzia wapi na kuishia wapi. Mimi nadhani utata huu wa kizazi cha sasa kinachodai usawa wa kijinsia karibu katika kila kitu unaanzia hapo mkuu 😁🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️

Wakiweka wazi mipaka ya usawa wanaoudai na kuupigania itasaidia sana kuondoa mikanganyiko isiyo ya lazima...
 
Hili tuliweke sawa kwanza kabla ya yote
Naomba tusome apa

Kisha akamwambia huyo mwanamume, “Kwa kuwa wewe umemsikiliza mkeo, ukala matunda ya mti ambayo nilikuamuru usile; kwa hiyo, kwa kosa lako ardhi imelaaniwa. Kwa jasho utajipatia humo riziki yako, siku zote za maisha yako. Ardhi itakuzalia michongoma na magugu, nawe itakubidi kula majani ya shambani. Kwa jasho lako utajipatia chakula mpaka utakaporudi udongoni ulimotwaliwa

Mungu apa alikuwa anasema nanani?

Wanawake hawajaumbwa kuwa watafutaji bali ni washauri na wasimamizi wa wawatafutaji
Ukipata pesa mshirikishe mkeo akupe mawazo ya kufanya kitu au ukianzisha biashara mpe mkeo asimamie apo utakuwa imefaulu
Sio wewe uende kutafuta alafu una mwambia na mkeo akatafute pia
Unacho kitafuta utakipata

MUNGU sio pumbavu wa kumuambia mwanaume atakula kwa jasho lake
Wewe jiulize kwanini hakusema mtakula kwa jasho lenu alimpa mwanaume mzigo wote?
Kwasababu alijua akili ya mwanamke iko vipi
Sasa hivi kuna wapumbavu fulani majukumu yao wanawapa wanawake eti haki sawa kwa wote ni haki sawa kwa wanadamu sio kwa Mungu
Siku ambayo mwanamke atampata mwanaume anayejua kusimamia majukumu yake vizuri na kuondoka naye unakuja apa kulalamika eti wanawake sio waaminifu wakati wewe ndo chanzo tafuteni pesa watunzeni wake zenu hilo ndilo jukumu lenu sio kuwapa wake zenu jukumu la kutafuta hiyo sio kazi yao
Umeandika vema ila hapo kwa mwanamke kuwa mshauri wa mwanaume mtafutaji si kweli. Mtu asiye mtafutaji atamshauri nini mtafutaji!!!??
 
Sio maneno yangu ni maneno ya Mungu
 
Uhalisia hawa Bongo mtu akifanya Maisha na mkewe ndugu utasikia karogwa hawajui ile ni familia ...

Ukija kwa wanawake wanataka pesa zako ndo zinfanyie maendeleo za kwao kwapni..may be uko kweny mstari wa kuweka pesa kwa maendeleo yeye anahitaji hyo pesa kwa ajili ya matumiz ya hanasa na kununua vitu vya urembo
 
Umeandika vema ila hapo kwa mwanamke kuwa mshauri wa mwanaume mtafutaji si kweli. Mtu asiye mtafutaji atamshauri nini mtafutaji!!!??
Alishamshauri Wakala tunda la Bustani ya Eden, dah yaani mechi kama hii ya Simba na Yanga Leo tungekuwa tunaiangalizia pale Bustani ya Eden, sasa jamaa alimsikiliza Demu
 
Usikubali kamwe Mke wako achukue majukumu Yako kama Baba wa familia, no matter what! Hizi habari eti ana salary nzuri kuliko Mimi basi asomeshe watoto aagh utakufa mapema
 
Dunia ya sasa ishi unavyoweza ukifa punzika imeisha hiyo... you’re just one little person
 
Back
Top Bottom