Milonji
Senior Member
- May 26, 2022
- 171
- 524
Habari wandugu?
Hapa juzi kati nimehudhuria harusi moja hivi na ilikuwa poa kabisa. Sasa nilichoshangaa ni pale wakati wa utambulisho!
Bibi harusi wakati anamtambulisha kaka yake, dume zima si likanyanyuka na kuanza kulia.
Sasa nikajiuliza nini kinafanya huyu kidume alie?