Wakubwa pisi hii inatongozwaje?

Wakubwa pisi hii inatongozwaje?

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Kuna mwanamke ninafanya naye kazi, sasa mwanamke huyo tayari nimesha mchana mkweli wangu na kwa bahati mbaya alikataa. Nilijaribu kukaza kabisa akasema nimpe muda afikirie. Si unajua vijana sisi kupenda mambo ya fasta fasta nikapenda anipe jibu tu la haraka haraka hivyo hivyo kuliko kumpa muda wa kufikiria.
Kwa bahati mbaya akatoa jibu lake kuwa hanipendi!

Nilijaribu kukaza kabisa, akasema jibu lake la mwisho ni kuwa hanipendi tu. Nikaona msala huu, nika hukuwa 50/ nikampa 50 zake, yaani nikaona sio kesi acha nitulie. Lakini sasa baada ya mimi kutulia kukaa kimya naona sasa mwanamke ameanza kunikumbuka sasa, maana zamani alikuwa hanitumia ujumbe sasa hivi ameanza kunitumia, zamani alikuwa hapokei simu zangu ameanza kupokea.

Sasa wakubwa hii ina maana gani hapa na nitumie njia gani hapa ili nijenge sasa? Maana huyu mwanamke anaonekana siyo mpenda mambo ya haraka haraka.
 
Shida umeonyesha unataka Sanaa na hiyo Ni picha ya njaa Kali.
Acha njaa mwanetu nenda kitaalam
 
Rejection is a part of the game my friend,she just miss your attention. Take your Big L and move on.
9wwe
Screenshot_20221023-184704_Messages.jpg
 
Kuna mwanamke ninafanya naye kazi, sasa mwanamke huyo tayari nimesha mchana mkweli wangu na kwa bahati mbaya alikataa. Nilijaribu kukaza kabisa akasema nimpe muda afikirie. Si unajua vijana sisi kupenda mambo ya fasta fasta nikapenda anipe jibu tu la haraka haraka hivyo hivyo kuliko kumpa muda wa kufikiria.
Kwa bahati mbaya akatoa jibu lake kuwa hanipendi!

Nilijaribu kukaza kabisa, akasema jibu lake la mwisho ni kuwa hanipendi tu. Nikaona msala huu, nika hukuwa 50/ nikampa 50 zake, yaani nikaona sio kesi acha nitulie. Lakini sasa baada ya mimi kutulia kukaa kimya naona sasa mwanamke ameanza kunikumbuka sasa, maana zamani alikuwa hanitumia ujumbe sasa hivi ameanza kunitumia, zamani alikuwa hapokei simu zangu ameanza kupokea.

Sasa wakubwa hii ina maana gani hapa na nitumie njia gani hapa ili nijenge sasa? Maana huyu mwanamke anaonekana siyo mpenda mambo ya haraka haraka.
Boss za asubuhi, natumaini u mzima.

Kuweka hesabu sawa

Balance due = 29,881,548

Paid 12/OCT= 8,000,000

Baki= 21,881,548

Tunaomba utusaidie 20mil asante
 
Mithali 6
32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

33 Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima; Wala fedheha yake haitafutika.
 
Alipokuwepo pamewaka moto anatafuta pa kupumzika wakati anasubiri mpenzi mwingine, mpe nafasi at your own risk
 
Kinachofuata mtu atawekwa kweny friendzone [emoji23]
Umegonga point moja ya maana sana mkuu ,second pot iyo na hapo Wanaume wengi tunakwama kweny maamuz ,uyo demu tayar ana plan kumkomoa jamaa
 
Back
Top Bottom