Mnyiramba
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,207
- 3,300
Huwa nafurahia sana mapenzi yaani unakutana na mwanamke anajifanya anakupenda kumbe anataka kukupiga tukio, kisha na wewe unajifanya umekolea ili na wewe umpige tukio yaani inakuwa full burudani no stress!
Yaani inakuwa tu kama kibao cha mail unaangalia zimebaki kama ngapi kisha unaendelea na safari yako!
Akisema i love you na wewe kama kawaida full kujibebisha na kumuahidi utamfanyia miamala kibao lkn utekelezaji unakuwa 0,akisema tuachane unajifanya kuomba sana msiachane kumbe unamchora tu [emoji28]
Akichelewa kujibu sms yako na wewe unamjibu baada ya siku 4 yaani no stress [emoji41]!
Akikuuliza baby unanipenda kweli unamjibu tena saaana![emoji28]
N:B hakikisha unakwepa kila aina ya tozo za hapa na pale!