Kitu kinachowaumiza wapenzi wengi katika maisha yao ni kutofautiana vipaumbele. Mivutano mingi ipo katika vipaumbele.
Kutofautiana kwenye vipaumbele kwa wapenzi huwafanya kutoshirikiana na hii...
Wakuu bila kuwachosha naomba nitoe matokeo ya utafiti wangu.
Kwa wiki 10 nilikusudia kufanya utafiti binafsi kutaka kujua hawa wadada tunowaona kwenye kumbi za starehe, Bar, night club...
Mliowahi kuoa wanawake halafu mkaja kugundua uko mbeleni kwamba ujanani mwake alishatoa mimba kadhaa, mna deal vipi ya hiyo depression? Mimi inanitesa sana, alishakiri na kuomba msamaha na mimi...
Bro, mke wangu tunapendana na pia anajua sijawahi kumsaliti, kwa kiasi fulani anatambua hilo kuwa sijawahi kumcheat, tuna miaka mitatu kwenye mahusiano yetu tangu nimuoe.
Hivi karibuni tumekuwa...
Mtu unayempenda akikuacha inauma.
Hasa pale unapokumbuka jinsi ulivyompenda na mlivyokua na furaha. Usiku huwa ni mrefu sana. Ukiwa bado huamini kama ndo mmeshaachana(umeachika) na unaona huna...
Habari MMU,
Lately nmejikuta nmempenda sana dada mmoja kwa company nayofanyia kazi. She is quite intelligent and a loner, I made my few moves and seems like she is crushing back.
The problem is...
There are many reasons why waiting until later in life may be advantageous, even though some individuals may feel ready to get married at an early age.
Photo: LS Archive/Sazzad Ibne Sayed...
Asubuh ya Leo nimepost Uzi ambao ukilnesha kuwa nataka kuvuruga ndoa ya Binti nilie mpenda ila akaniacha toka 2015.
Katika Uzi huo nilijipa uhusika kama nili fall in love at the first na nili...
Habari wakuu,
Naomba kuwasilisha.
Naona hili linaenda kuwa tatizo sasa!! Inakuwaje mwananmke usisafishe kinywa chako vizuri!!??
Ukweli ni kwamba mwanaume hawezi kukwambia kuwa kinywa chako...
Kuna muda unaweza kuota ndoto zingine za ajabu Sana mpaka ukaanza kujiuliza imekuwaje kuwaje mpaka ukaota ndoto ya hivi?
Imagine unaota unafanya mapenzi na mtu unayemheshimu Sana.Anaweza kuwa...
Siku jamaa kajichanganya kaenda kwa jimama lake kamkuta mshikaji mwengine yupo sebuleni kakaa ila jamaa hakupanic. Jimama likamtengea chai sehemu yake na yule mchizi mwengine akatengewa chai...
Jamani kama una hela za kutosha kuhudumia mkeo au wake zako bila shinda, wakiwa nyumbani nawapeni siri mke anae shinda nyumbani kuhudumia familia na mme wake( goal keeper) ana utofauti mkubwa kwa...
Katika pitapita zetu kwenye harakati za kumwagilia moyo, nikipita kwenye bar fulani nikawa nimemuelewa muhudumu mmoja, tukaelewana tukabadilishana namba, nikamuomba kulala naye usiku huo akakubali...
"UMRI SIO RAFIKI NITAMLIPA
MSHAHARA ATAKAYE NIOA"
Haya sasa unaambiwa mwanamke mmoja wa Nigeria mwenye makazi yake nchini Ufaransa ameingia kwenye mtandao ya kijamii kutoa tangazo anahitaji...
Habari za usiku Wana Jf hope wote ni wazima poleni na majukumu ya kujitafutia riziki,
Niende kwenye lengo la Uzi,
Napenda kushauri serikali yangu na wadau mbalimbali kuwa ni Wakati sasa sahihi...
Tupo na jamaa zangu mitaa ya Mawasiliano Dar, kuna jamaa toka Mbande sijui iko wapi, amekuja jijini akiwa na zawadi kwaajili ya rafiki yake wa kike waliyekutana naye mtandaoni, wamewasiliana na...
Jana nimekaa nimewaza sana tu .
WANAUME
humu wanaume wanaona kila anayetrend Kwa kucomment ,Kwa posts ni anajiuza ndio mindset yao, so mie nimeona siwezi kuendelea kupretend na kuishi mahali ili...
Niliwahi kusikia ukimsaidia mwanaume ambaye yupo kwenye mkwamo wa kiuchumi, au anapitia changamoto fulani ukatatua changamoto yake baada ya hapo anakuacha akimaliza changamoto anayopitia.
Kwamba...
Habari za jioni,
Naomba ushauri wa jinsi ya kumchukulia mwanaume mwenye tabia hizi katika mahusiano.
1. Hayuko tayari kukuoa
2. Hayuko tayari kukutambulisha popote
3. Hayuko tayari kukusaidia...