Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,194
- 4,116
Niliwahi kusikia ukimsaidia mwanaume ambaye yupo kwenye mkwamo wa kiuchumi, au anapitia changamoto fulani ukatatua changamoto yake baada ya hapo anakuacha akimaliza changamoto anayopitia.
Kwamba anaona hawezi kuku- control tena kwa kuwa umemsadia hivyo anaamua kukuacha ili akatafute ambaye hajawahi kumsaidia ili awe na nguvu ya maamuzi dhidi yake.
Pia mwanaume ambaye atakuwa na ujasiri wa kukuomba umsaidie mfano moenzi wangu nitumie 10000 au 5000 leo sipo vizuri ukimtumia tu si kwamba anafurahia ila anatafuta namna ya kukuacha, je kuna ukwlei huo kuwa wanaume hawapendi ku9e wa wala kusaidiwa na wanawake wao?