Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wengiwenu mmekua mkijisifia kuwa mnakula na kuwatumia wanaume. Yaani mnakula na kutumbua pesa za wanaume. Ili kumkomoa mwanaume . Nawafichulia tu siri mwanaume utakae mfuja hivyo ni yule ambaye...
9 Reactions
55 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu...!! Poleni na Swaum (Mlioko kwenye mfungo) Kwanza kabisa mie humu sio muanzisha Uzi mara nyingi huwa ni mchangiaji tu japokuwa kuna mambo mengine huwa nayamaliza mwenyewe ila...
1 Reactions
621 Replies
49K Views
Tusipunguze ukali wa maneno wala nini, mliozaliwa nje ya ndoa wote ni wana haramu. Mlipatikana kwa njia ya uzinzi kinyume na mipango ya Mungu. Na mnaozaa nje ya ndoa watoto wenu ni wana haramu...
23 Reactions
185 Replies
8K Views
Mambo vipi watu wa Mungu? Leo naomba kila mwana MMU ataje sababu iliyopelekea kuachana na mpenzi/wapenzi wake wa zamani. Tukianza na mimi mleta mada niliachwa coz sikua msabato mwenzie na vile...
19 Reactions
857 Replies
115K Views
Ananipenda sana, ila sina hisia nae hata kidogo... Hana kasoro yoyote, ana sifa zote kuitwa mke, lakini mimi simpendi... Hajawai nikosea, kila siku mimi ndio namkosea lakini haniachi...
3 Reactions
259 Replies
20K Views
Habarini Wana janamvi , Nimeona nianze na heading ili mjue sio kwamba nataka kulelewa Ila najiuliza Kuna upendo kweli apa, ? Mim nilikua nafanya kazi kwa miaka minne nikaacha nikaja chuo kusoma...
3 Reactions
54 Replies
3K Views
Utalipia tu vinywaji..na chakula .
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Kabla hujaingia kwenye ndoa rasmi jiakikishe una uwezo wa kifedha kuhudumia familia yako na wazazi wako pamoja na wamke wako kwa kiasi, otherwise ukienda na matumaini ya kuchangiana na mwanamke...
50 Reactions
334 Replies
19K Views
Jamani najiuliza sijui nimeoa jini sielewi! Huu ni mwezi wa tano kila nikikaribia kuanza minyanduano anaanza kuniambia leo jitahidi bwana! jitahidi angalau utumie saa moja na nusu, anaseti saa...
25 Reactions
106 Replies
8K Views
Salaam, Mwanzo upendo ktk mahusiano/ndoa hua na nguvu sana coz wahusika huziweka wazi hisia zao vile wanavofeel juu ya wenza wao. Jambo hili hujenga bond strong baina yao na kuwafanya...
2 Reactions
0 Replies
487 Views
...Habari! Dada zangu mwanaume kuzaa nje ya ndoa ni jambo la kawaida sana ktk dunia hii. Hii ipo tangu zama za mawe za kale. Sasa kuna wamama wanafura mpk eti wanasusa ndoa! Khaa, ukiondoka dume...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Matukio ya watu kulea watoto ambao sio wao yamekuwa yakileta mifarakano katika jamii kwa miaka mingi. Utakuta mtoto analelewa kwenye nyumba ya baba mnyamwezi lakini ukimwangalia pua na masikio...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Kuna kijana wa Kiislam ana umri wa miaka 28, Elimu yake ni degree, amejiajiri na kwa rehma za Allah pesa ya kula na mahitaj mengine muhimu zipo. Sifa za Mke anaehitajika ni kama ifuatavyo; Awe...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Je unao uwezo wa kufanya maamuzi sahihi katika muda muafaka? Jamaa pichani ni baba wa familia hapo yuko kwenye harakati za kufanya uokoaji.. Anapaswa kuchagua mmoja wa kumuokoa kwa wakati huo...
9 Reactions
60 Replies
3K Views
"No woman, no cry"alisema Lucky Dube. Ona sasa, kidogo anitoe uhai Baada ya kuchukua juisi ya matunda na kipande cha mkate kwa ajili ya kulipoza tumbo, nalimwona mwanamke wa ajabu akivuka...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Hivi fikiri mke wa mtu anavaa nguo fupi sana haipiti magoti halafu mbaya zaidi akikutana na wanaume anaweka kanga ili wanaume wasione mbunye huo si Udada poa? Wake zenu wanavaa Madera marefu...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Porn exists to make men weak, powerless, and unable to lead. Feminism exists to demonize men, make women ugly, and destroy the nuclear family unit. Abortion exists because morality got taken out...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Kijana wa kiume, umri 35, sina mtoto na sijawahi kuoa, niko single, najishughulisha na ufundi. Natafuta mwenza wa kike umri 28-34, awe anajishughulisha na shughuli yoyote halali, asiwe na mtoto...
1 Reactions
7 Replies
659 Views
Nikipata hela, nitaenda Colombia kutalii. Wana vivutio vingi sana vya kuosha macho. Wakuu, bajeti inaweza kuwa kiasi gani kwa kukaa wiki mbili?
4 Reactions
40 Replies
3K Views
Back
Top Bottom