Huenda huwa tuna sex na majini

pureman2

JF-Expert Member
Aug 21, 2019
1,494
2,538
Wakuu bila kuwachosha naomba nitoe matokeo ya utafiti wangu.

Kwa wiki 10 nilikusudia kufanya utafiti binafsi kutaka kujua hawa wadada tunowaona kwenye kumbi za starehe, Bar, night club, restaurant nzuri, hotel zenye huduma mseto, launge na saloon je huwa wanaenda makanisani au huduma za kiroho kwenye nyumba za ibada na makusanyiko ya dini?. Utafiti nimeufanya kwenye Jiji la Dar, Dodoma na mji wa Moshi

Njia (methodology) yangu ilikuwa kufanya direct observation(kutazama) kwenye maeneo niliyo yabainisha hapo juu.


Matokeo:

1: Kwa kipindi cha week 10 nimetembelea kumbi za starehe 14, makanisa 23, makongamano ya kiroho 5, na seminar za kiroho 3.

2: Katika kumbi za starehe, hotel na saluni kuna idadi kubwa ya akina dada wa umri kati ya 18-35 . Wengi wana miili yenye maumbo mazuri, weupe, ngozi nyororo, stylish hair (misuko tofauti, bleech, na mawigi), kucha bandia na macho yasio tulia. wengine wana matako makubwa, miili mikubwa, miguu minene, na wanaletwa na magari.

3: Katika sehemu za ibada nilikuta mchanganyiko wa umri, 10-14 (teenagers) na watu wazima( 35-50+). Wengi wanaonekana ni singo mother na sura zao zinaashiria kukosa nuru na kuchoshwa na dunia. Wengi wanamaumbo yasiyogawanyika vyema, huwezi Jua mwisho wa kiwiliwili na makalio, wengi hawana matako makubwa, na kichwani wengi wako simple hata kama ni wigi unaona halina mambo mengi. Wengi wakija naeneo hayo ni either wanatembea kwa mguu au usafiri wa boda na bajaji na wachache magari.

4: Jambo lingine lililokuwa bayana ni kiwango cha utulivu. Inaweza kuwa ni sababu ya kimazingira ila kiufupi wale wa dada niliowaona kumbi za starehe wengi wao hawana utulivu Kwa kutazama macho Yao , namna wanavyotazama watu walio kwenye eneo , uongeaji wao, inuka kaa, nenda washroom rudi mezani, kujikuna, kubadirisha mikao n.k

Nilichojifunza: hao wanawake tunokutana nao kwenye maeneo ya starehe huwa wanaishi wapi coz hata mitaani ni nadra kuwakuta kwenye matukio ya kijamii kama misibani, au mikutano hasa mida ya mchana.

Inaonyesha Kuna aina ya wadada hawana time na mambo ya Mungu. Wamejisajili kwa shetani na anawatumia kuangamiza jamii kwa zinaa, ufilauni na starehe za dunia. Huenda huwa tunafanya sex na majini sisi tukizani ni binadamu wenzetu.

Lipo la kujifunza. Karibuni muchangie Uzi huu ili kuchambua matokeo ya utafiti huu Kwa kutoa uzoefu wenu pia
 
Ni nadra kuwaona maana wengi wao huenda kufanya mambo yao mbali ya makazi yao.
Kwa kule wanakotoka ni wake waliowaaga waume zao wanaenda makazini ama kusafiri.

Kwa utafiti wangu binafsi asilimia kubwa mfano wa wanawake waliokuwa maeneo ya starehe ya tabata ukiwauliza wanakwambia wanatokea Mbagala. Hivyo itachukua muda sana kwa mkazi wa Tabata kumuona mchana dada anaekutana nae Kitambaa Cheupe usiku maana kukicha anavaa dera lake anarudi Chamazi.

Ila hujakosea kusema wanawake ni majini maana wana hulka zote za kijini.
 
Ni nadra kuwaona maana wengi wao huenda kufanya mambo yao mbali ya makazi yao.
Kwa kule wanakotoka ni wake waliowaaga waume zao wanaenda makazini ama kusafiri.

Kwa utafiti wangu binafsi asilimia kubwa mfano wa wanawake waliokuwa maeneo ya starehe ya tabata ukiwauliza wanakwambia wanatokea Mbagala. Hivyo itachukua muda sana kwa mkazi wa Tabata kumuona mchana dada anaekutana nae Kitambaa Cheupe usiku maana kukikucha anavaa dera lake anarudi Chamazi.

Ila hujakosea kusema wanawake ni majini maana wana hulka zote za kijini.
Asante Kwa ku share uzoefu
 
Ukiona hivyo ujue basi na kuna wanaume nao wamejisajili kwa shetani na hawamjui Mungu pia,,,nao ni zinaa tuu!!Sema nini!!kila mmoja aishi vile anavyo ona inafaa kwa upande wake!!!Na ndio raha ya dunia hatuwezi wote tukashinda kwenye nyumba za ibada hakutatosha!!!
 
6D647D4C-56CA-4F2B-95A5-5DF7F0434887.jpeg
 
Wakuu bila kuwachosha naomba nitoe matokeo ya utafiti wangu.

Kwa wiki 10 nilikusudia kufanya utafiti binafsi kutaka kujua hawa wadada tunowaona kwenye kumbi za starehe , Bar, night club, restaurant nzuri, hotel zenye huduma mseto, launge na saloon je huwa wanaenda makanisani au huduma za kiroho kwenye nyumba za ibada na makusanyiko ya dini ?. Utafiti nimeufanya kwenye Jiji la Dar, Dodoma na mji wa Moshi

Njia (methodology) yangu ilikua kufanya direct observation(kutazama) kwenye maeneo niliyo yabainisha hapo juu.


Matokeo:

1: Kwa kipindi cha week 10 nimetembelea kumbi za starehe 14, makanisa 23, makongamano ya kiroho 5, na seminar za kiroho 3.

2: katika kumbi za starehe, hotel na saluni kuna idadi kubwa ya akina dada wa umri kati ya 18-35 . Wengi wana miili yenye maumbo mazuri, weupe, ngozi nyororo, stylish hair (misuko tofauti, bleech, na mawigi), kucha bandia na macho yasio tulia. wengine wana matako makubwa, miili mikubwa, miguu minene, na wanaletwa na magari.

3: katika sehemu za ibada nilikuta mchanganyiko wa umri, 10-14 (teenagers) na watu wazima( 35-50+). Wengi wanaonekana ni singo mother na sura zao zinaashiria kukosa nuru na kuchoshwa na dunia. Wengi wanamaumbo yasiyogawanyika vyema, huwezi Jua mwisho wa kiwiliwili na makalio, wengi hawana matako makubwa, na kichwani wengi wako simple hata kama ni wigi unaona halina mambo mengi. Wengi wakija naeneo hayo ni either wanatembea kwa mguu au usafiri wa boda na bajaji na wachache magari.

4: jambo lingine lililokua bayana ni kiwango cha utulivu. Inaweza kuwa ni sababu ya kimazingira ila kiufupi wale wa dada niliowaona kumbi za starehe wengi wao hawana utulivu Kwa kutazama macho Yao , namna wanavyotazama watu walio kwenye eneo , uongeaji wao, inuka kaa, nenda washroom rudi mezani, kujikuna, kubadirisha mikao n.k

Nilichojifunza: hao wanawake tunokutana nao kwenye maeneo ya starehe huwa wanaishi wapi coz hata mitaani ni nadra kuwakuta kwenye matukio ya kijamii kama misibani, au mikutano hasa mida ya mchana.

Inaonyesha Kuna aina ya wadada hawana time na mambo ya Mungu. Wamejisajili kwa shetani na anawatumia kuangamiza jamii kwa zinaa, ufilauni na starehe za dunia. Huenda huwa tunafanya sex na majini sisi tukizani ni binadamu wenzetu.

Lipo la kujifunza . Karibuni muchangie Uzi huu ili kuchambua matokeo ya utafiti huu Kwa kutoa uzoefu wenu pia
utafiti wako kwa aslimia nyingi unaweza ukawa na ukweli ndani yake kwa sababu hii kitu nimeshisikia kwa jamaa zangu wakaribu pia wakizungumzia hilo ukiachana malaya wanaojiuza kwenye majiji makubwa ambapo sio rahisi kumtambua mtu katoka wapi pia kunabaadhi ya mikoa km Singida pale kirima biashara ya dada zetu inazidi kukua kwa kasi,idadi ya wanaojiuza inaongezeka kila kukicha lakini cha ajabu huwa wanaonekana ni wapya huwezi kumjua...i think wengi wao inaweza inakawa ni majini wasakata mbususu za kununua jaribu kuzingatia hilo
 
Tunaungoja mrejesho
Tafiti yangu ya masaa kumi inaonesha Hawa wadada wanaujiuza club wengi Wao wanaish lodge na guest ndogo ndogo maana mchana Tena zoezi la uchakatwaji linaendelea kupitia order za telegram,tinder n.k hakun kupumzika as long ameamua kujitesa
 
Back
Top Bottom