Maumivu ya kugundua mkeo aliwahi kutoa Mimba

nimechafukwa

JF-Expert Member
Oct 2, 2013
286
250
Mliowahi kuoa wanawake halafu mkaja kugundua uko mbeleni kwamba ujanani mwake alishatoa mimba kadhaa, mna deal vipi ya hiyo depression? Mimi inanitesa sana, alishakiri na kuomba msamaha na mimi nikamsamehe lakini nimeshindwa kutoa haya maumivu moyoni kwangu kabisa.


Naombeni msaada

N. B Mke wangu bado nampenda sana, ila namuona ni mnyama.
 

Abuu Dharr

JF-Expert Member
Dec 28, 2017
2,642
2,000
Chief
Siku ulipomuoa,ni siku unatakiwa ufungue daftari jipya.
Daftari la nyuma,halina mahusiano na ww muda wa kuwa umempenda na ukakubali kumuoa bila ya kulazimishwa

Mm nasema
Ulilolitafuta....umelipata
Pambana mwenyewe,usituvuruge ilihali tupo kwenye Msiba wa Kitaifa
 

MWANDENDEULE

JF-Expert Member
May 24, 2015
2,742
2,000
Pole sana. Hapo zamaniKuna binti mmoja nilikuwa na mpango wa kumuoa sasa katika namna ya kumsaidia apate kazi fulani likaja suala la mimba kama ni mjamzito au amewahi toa, jibu likawa amewahi toa. Kilichofuata alikosa kazi na mme pia maana sikuwa tayari kuendelea nae.
Tusiwachunguze sana hawa rafiki zetu tutakuja kufa kwa presha maana huku ninakokutana nao mitaani naona wengi tu wanafyatua. Vyuoni nako hali si shwari.
Vumilia tu mkuu japo hiki kitu kimeshakuwa sehemu ya maisha yako tayari kwani utakiwaza kila siku unapomfikiria au mla mkeo.
 

Kashaulo

JF-Expert Member
Jun 14, 2019
2,771
2,000
Pole sana.

Hapo zamaniKuna binti mmoja nilikuwa na mpango wa kumuoa, sasa katika namna ya kumsaidia apate kazi fulani.

Likaja suala la mimba kama ni mjamzito au amewahi toa, jibu likawa amewahi toa.

Kilichofuata alikosa kazi na mme pia maana sikuwa tayari kuendelea nae.

Kazi gani hiyo inahitaji hadi historia ya mimba!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom