Wewe ambaye umeoa au kuolewa na upo unafikiria kuachana na mwenzi wako. Fikiria upya juu ya uamuzi wako.
Fikiria hao watoto mlionao. Fikiria nyakati zote nzuri mlizokuwa nazo pamoja kama mke na...
Wakuu habarini, nina ndugu yangu toka kuzaliwa ana komwe, sasa ana miaka 23 now na anatamani sana kunyoa haircuts za kisasa, imekuwa changamoto kwake, jamani hivi dawa ya kuondoa komwe mwaifahamu...
Mwanaume mmoja alimuoa msichana aliyekua ni mrembo kweli, Katika kuishi kwao katika maisha ya ndoa, mwanamke alipatwa na ugonjwa wa ngozi. Taratibu akaanza kupoteza uzuri wake, Ikatokea siku moja...
Heshima zenu wana MMU wakubwa kwa wadogo,
Ni matumaini yangu kuwa mko salama kabisa na mnaendelea na majukumu ya kujenga taifa letu.
Ndugu zangu wana MMU bila kupoteza kuda sana ngoja moja kwa...
37 yrs male looking for a wife, she should be between 20 - 33 years old, with no child, Christian, with at least first degree. Added advantage for the 1) one with her own income, 2) Kagera tribes...
Sasa kwanini ukunifanyia haya yote ufanyayo sasa?
Nasikia sauti za vilio, nasikia sauti zikipaza angani.
Nasikia watu wakiomboleza, natamani baadhi yao niwafute machozi lakini siwezi, siwezi...
Ukiambiwa Nina boyfriend ujue huna hela, wenye pesa hawaambiwi hata akiuliza watajibiwa nilikuwa nae ila tumeachana kumbe kaolewa.
Tafuteni hela mwanamke hakai mbali na simu
Tafuteni hela...
Mliwezaje kuishi na hawa wakuitwa mtoto wa mama?
Yaani mnachopanga mama anakijua, mkikutana mama anajua, mkisimuliana background mama anajua, ukiomba hela mama anajua tena anaomba ushauri kwa...
Wakuu tumefika mwisho. Tumekuwa watabe kushauri kwenye mahusiano ya wengine huku mtandaoni lakini huku field Mke wa Brother(rafiki yangu wa longtime) ametushinda.
Ni hivi Mwaka Jana Mke wa Huyu...
Habari za asubuhi wana jf Jana sikulala nimekesha naongea na sister yangu yuko kwa Obama kwa nafasi yake kama dada kanishauri ila sijaridhia ushauri wake ingawa hajui pia.
Ni hivi nina wanaume...
Habari za wakati huu....
Najua mabinti / wasichana / wanawake waliomo humu ndio hao hao tunaoishi nao mitaani hivyo wazo langu la kuoa nimelileta hadi humu pia japo na mtaani na lifanyia kazi...
Rafiki yangu alinihadithia mgogoro kwenye ndoa yake japo chanzo nilipata kukijua miaka mingi iliyopita! Wakati rafiki yangu akiwa na miaka 19 alipata mtoto na msichana wa mtaani dogo enzi hizo...
Za usiku huuu wanangu
Jioni ya leo nimefukia msomi wa maana sana
Hii ni kutokana na njjaa kali niliyokuwa nayo
Sasa after menu nikawa najisikia kutapatapa na kama mwili mzito
Inshort...
African hellow
Mapenzi yameniendesha sana mpka kitambi sina tena nimekuwa kimbao mbao nilie kuwa nae kanichuna sana alinidanganya kuwa ana mimba yangu kumbe siyo kweli mwisho wa siku ananiambia...
Ni wiki ya pili sasa niko naishi na mpenzi wangu mpya ndani ya nyumba moja, pika nipakue; mwanzoni kabla ya kuja aliniahidi kutoa shoo kabambe kila siku, na alipofika siku za mwanzo alikuwa akitoa...
Kuna Wadada wanapenda kuumizwa wenyewe, staff member center mpya ya kazi, dada haamini kuwa niko taken, amelazimisha aje ninapoishi.
(mke bado hajaja) nimemzuga ila mwishowe nimeona nimwambie...
Kulikuwa kuna ndugu wawili mwanamke na mwanaume, lakini hawa ndugu walikua ni mayatima wazazi wao walishafariki.
Sasa kwa bahati mzuri huyu wa kike akapata mume akaolewa na akabahatika mtoto...
Maana ya date na mwanamke ni kukutana naye ili kutengeneza mazingira rahisi ya kufanya naye mapenzi, na mkiendana kuwa wapenzi.
Ila ukiharibu unapokutana na mwanamke, maana yake unakosa penzi na...
Sijui kwanini watu wanajisumbua kuhangaika na vitu ambavyo hawawezi kuvicontrol. Labda nielezee vizuri....
Sikuhizi kumekua na janga kubwa la wanaume kuwaza zana kuhusu ukubwa(hasa urefu) wa...
Bado navinjari mitaa ya Rufiji leo nimekutana na kitu cha kuhuzunisha mno, nimeonyeshwa kaburi la kijana ambaye mauti yake yalisababishwa na siku ya wajinga duniani
Ilikuwa hivi : huyo marehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.