Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kiukweli sijawahi kuleta mada ya mapenzi/Mahusiano humu ila Leo imenibidi nilete tu. Unajua katika mihangaiko yangu ya kazi nilibahatika kumpata demu flani hivi, Kiufupi ni mzuri na ni mtu wa...
3 Reactions
103 Replies
17K Views
Uwa nasema, kama kunapahala Mungu alituliza akili katika uumbaji, basi ni wakati anamuumba mwanamke. Mwili wa mwanamke aisee uliumbwa vizuri, unavutia kutazama. Kama unahisi kunakitu Mungu...
12 Reactions
71 Replies
3K Views
Nimekuwa natafakari Ili mwanamke apendwe au aonekane ni mke mwema.. Anatakiwa awe kilaza?...yaani Division four na zero zimuhusu?... Elimu ilishushwa kwa ajili ya jinsia Fulani? Mwanamke...
40 Reactions
366 Replies
25K Views
Hakuna Swali napata shida kulijibu kama hili. Mdada(Demu), ambae nimemfuata kwa ajili ya uhusiano wa muda anaponiuliza swali hili huwa nashindwa nijibu nini. Naogopa kumwambia ukweli, na naogopa...
16 Reactions
92 Replies
7K Views
Kwako Dada yangu na rafiki yangu humu JF especialy jukwaa letu pendwa la MMU. Nimeamua kukuandikia huu ujumbe jukwaani badala ya kukutumia PM.. Rafiki yangu nilichokigundua ni kwamba unataka...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
soma habari hii kisha jibu maswali yafuatayo Ni saa saba za mchana jamaa kamwacha mchumba wake sebleni kaelekea dukani kununua vocha, Ile anarejea hamuoni mtu sebleni kugeuka huku na kule mara...
3 Reactions
142 Replies
11K Views
Kutii ni jambo la muimu sana kwa mjibu wa ndoa. Hata kabla ya dhambi kuingia katika ulimwengu, kulikuwa na kanuni ya ukubwa/uongozi (1 Timotheo 2:13). Adamu aliumbwa kwanza, na Hawa akaumbwa kuwa...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari zenu wakulungwa! Niende kwenye mada moja kwa moja, kuna jambo naomba tushee wote hapa, kuna jamaa mmoja ameoa sasa uyo jamaa ana katabia cha kumchangisha mke wake wanapotaka kununua kitu...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Hivi kwa mwanamke anayefanya kazi baa au mdangaji anaweza kuwa wife material na akatulia kabisa kwa nyumba?
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Katika siku hizi za mwisho, migogoro ya kindoa imekuwa ni mingi sana, kiasi kwamba ndoa kudumu hata mwaka mmoja, ni jambo la kushukuru sana. Kila kukicha mikwaruzano, hakuna amani, kila mmoja...
6 Reactions
15 Replies
4K Views
Nimerudi baada ya changamoto za kimalezi. Tutakuwa pamoja sasa. Wanawake wa miaka ya 70 ni tofauti na mabinti wa sasa wa 98, 99 na kuendelea. Wa miaka hiyo walikuwa waoga, unapiga kofi analia...
10 Reactions
28 Replies
2K Views
Muwe mnawataarifu wake zenu mkiwa mnarudi kutoka safari inasaidia kuokoa ndoa .
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Huko hali ni shwari? Kwa tuliooa nimewiwa leo hii tarehe 31 ya mwezi wa 3 mwaka 2023 kuyaongea haya. Kuna wanaume wenzetu wengi ambao mimi nawaita ni wadogo zangu kabisa kama siyo wanangu. Hawa...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, elimu yangu nimesoma mpaka chuo nilisomea mambo ya business administration ila sijaajiriwa bali nimejiajiri mwenyewe (mfanyabiara). Sifa zangu; ~ Mweupe...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni sikitiko kubwa katika Jamii kuona mwanamke naye ameshupaza shingo anajidai anashindana na wanaume. Kibaya zaidi ni kwamba ushindani huu wanaupeleka Hadi kwenye mahusiano ya ndoa. Mwanamke...
9 Reactions
9 Replies
934 Views
Naenda kwenye maada,, stak kupoteza mda wakuu,, Naumia sana tena inauma Nimehudumia mimba mpaka kujifungua mbaya zaidi mtoto akafikia mwaka na miezi sita ndipo nikabaini mtoto sio wakwangu iko...
49 Reactions
349 Replies
25K Views
Kwenye jamii zetu inaaminika kuwa binadamu mwenye jinsia ya kike ni dhaifu sana. Wengi wanaamini hivi kutokana na maamuzi yao mengi wanayofanyaga, kuna muda yanaonekanika si yenye sababu hata...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wadau, Leo nimeona nilizungumze hili , kwenu. Mimi ni baba mwemye mtoto mmoja. Japo sijaoa...kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu, kwa maana hata huyo mzazi mwenzangu tayari...
6 Reactions
53 Replies
2K Views
Mwanaume ukisha tafuta hela ukazipata fanya hivi sikupangii ila nakupa muongozo tu kama utaona unakufaa. 1. Mshukuru Mwenyezi Mungu kwa kumtolea ibada ya shukrani na kuomba ulinzi wa Mali zako na...
32 Reactions
36 Replies
3K Views
Nina mpenzi wangu nilikua nampenda sana na kumpatia vitu vidogo vidogo pale apatapo shida. So nimekua nae kwenye Mahusiano ndani ya miezi 6 sasa, ila tatizo lake mi na yeye tunashindwana, hataki...
1 Reactions
36 Replies
11K Views
Back
Top Bottom