Nawatakia Jumapili njema Wakristo wote, na mfungo mwema wa Ramadan kwa Waislamu wote.
Niende kwenye mada yangu.
Uhuru kwa mtoto hasa wa kiume mwenye miaka kuanzia 15 kama sayansi inavyosema kuwa...
Wikendi jana nilikuwa zangu kanda ya ziwa. Nikafikia lodge moja yenye sehemu nzuuuri ya kutulia na kula kinywaji.
Nyakati za jioni nikatoka nje kupunga upepo,kunywa wine huku nikipitia nyuzi za...
Kuna jambo ambalo linaendelea na sio wote wamepata bahati ya kuliona.
Ndoa ni baraka ya Mungu. Wazungu hawataki kabisa kukisikia kitu hiki. Walianza na ndoa za kimkataba, hawakutosheka, wakaenda...
Hellow african
Watu wengi hawajui kumuandaa mwenza wake kabla ya tendo leo nataka niwatoe ushamba kidogo [emoji23][emoji23]
Kwaza kabisa in the morng kama mnataka kukutana leo bas anza...
Ni siku nyingine tena natumai sote tu wazima wa afya.
Niende kwenye lengo langu. Katika mahusiano na ndoa kuna kukoseana na kuhitilafiana. Ndoa na yafanyikayo humo mara nyingi huwa ni siri ila...
Utamaduni huu naomba kwangu ubaki maana Ndoa nyingi siku hizi hakuna japo tunaona sherehe nyingi sana kuliko Ndoa.
mimi naomba wazazi wangu wanitafutie mke atakayenifaa hivo tu sijajua kwako...
😳😳 Mchungaji huyo wa kanisa nchini S.Africa kwa jina la Jeslynn ameibuka kuwashauri wanawake walio kwenye ndoa lakini tofauti na matarajio yake amepingwa kwa karibia asilimia 95% na wanawake...
Je ni sawa kumpeleleza Mpenzi wako kutaka kujua kuhusu mahusiano aliyowahi kuwa nayo kabla yako!? maswali kama umeshakuwa na wapenzi wangapi kabla yangu? kati ya hao ulokuwa nao ni wangapi umelala...
Nimewaza kuhusu mimba zinazotokea bila mpango kwa wasichana wa shule na vyuoni.....
Nafikiria kuhusu nani haswa ndo mwenye hatia kwenye hizi kesi ila jibu haliji. Huko mtaani wanalaumiwa sana...
Kwa sasa michezo ya Amber Ruty imekuwa fassion sana na aghalabu ukikutana na mwanamke akakupa Tigo ukakataa anakuona ***** au mshamba kabisa!
Kama kawaida ya sisi vijana tumekuwa na...
Yani ni kama utajiri wangu na mafanikio yangu yapo kwa mdada mmoja hata anifai kabisa. Ajatulia kabisa yani awezi kupoa sema awezi niacha, tumeachana tume ludiana a year later kama...
Nakiri kabisa kati ya wanawake 10 nitakaowatongoza wanane ni masingo maza,na ukweli ni wazuri mno na sifa zao ni hizi:
1.ni wasafi mno na hujitayarisha sana kwa sex
2.wanajua sana sex kunzia...
Yawezekana ni kweli lakini huu msemo unatumika vibaya na unapochukuliwa kawaida na kutangazwa Kila kukicha kunawapa kiburi Sana wanawake wengi hasa wale wanaokuja kupita JF Kwa lengo la kunifunza...
Hawa wanawake wa kiislamu huwezi kukuta wanakosa mwanaume wa kumuweka ndani.
Kumbe ukivaa vizuri, ukajitunza, basi wanaume watakuweka ndani. Sasa hawa wanajipoa weee then wanaishia kuwa single...
Habari wadau.
Naona post nyingi za watu kutafuta wenza wa dini zote.
Pia hata mitaani naona watu wakihangaika kusaka wenza..
Huwa nashangaa sana na waislamu nao wanahangaika kusaka wenza kama...
😂😂😂 kwanza nafuraha sana baada ya kutoka jela segerea mitaaa ya ban thanks mod
Nikitambo sana ila kikubwa ni hiki jamani mwezi huu mtukufu (mimi ni mkrito) ila nipo pamoja na nyie jua kali sana...
Habari za humu. Ukweli tuongee Ili mambo yakawe sawa. Mwanamke anaendeshwa na emotion Kwa Kiswahili hisia. Hila wanaume wapo in thinking capacity.
Kila jambo wanaume wanafikiria na athari zake...
Ni laana, mabinti wengi wanaharibiwa kwa makusudi na hawa boda boda, yaani kwao wanafanya kama sifa na ishara ya ushujaa. Si boda boda wote ila wengi wao wana sifa hizi:
1. Wana viduku kichwani...
Habari zenu wanajukwaa. Naamini wote ni wazima poleni kwa wale wenye changamoto Mungu awatangulie 🙏.
Niende moja kwa moja kwenye Mada. Kiufupi nimechoka namna jinsi gani nilivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.