Mnanishauri nini?

Mnanishauri nini?

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,977
Reaction score
67,611
African hellow

Mapenzi yameniendesha sana mpka kitambi sina tena nimekuwa kimbao mbao nilie kuwa nae kanichuna sana alinidanganya kuwa ana mimba yangu kumbe siyo kweli mwisho wa siku ananiambia mimba imetoka

Nikamuuliza imetoka puani au sikion mbona aikuji Akilini tukaaza kubishana wakati uho nishaliwa hela nyingi sana mimi kubishana siwezi ila na mdomo kama manara

Leo hii nimetokea penda dada wa watu najiona nazama sana tena naingia mzima mzima na ukapuku wangu uhu si nitakuja kufa jalalani kisa mapenzi beach boy mimi 🙄
 
IMG_20230306_185711_640.jpg
 
Mkuu endelea na moyo huo huo..
Mi mwenyew nilikomaa hivo hivo sahizi nipo zangu kaburini naendelea kula adhabu ya kabri😄
Huku nikisubiri kiyama😂😂😂
Nimechoka 😂😂😂 mapenzi yana nikomaza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom