Natafuta mke wa kuoa

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Habari za wakati huu....

Najua mabinti / wasichana / wanawake waliomo humu ndio hao hao tunaoishi nao mitaani hivyo wazo langu la kuoa nimelileta hadi humu pia japo na mtaani na lifanyia kazi zaidi huku nakumwomba Mwenyezi Mungu maana mke mwema anatoka kwake..

Mimi ni kijana mwenye miaka 32 sina mtoto , ni mpole na sitaki purukushani na mwanamke katika safari ya ndoa japo najua purukushani zipo ila ni zile za kiasili sio za ujinga ujinga sipendi , pia ni mpambanaji.

NATAFUTA MKE MWEMA WA KUOA..

BINTI AU MSICHANA awe na sifa zifuatazo:

1:Mkristo na mwenye hofu ya Mungu kweli kweli na awe mkweli ..

2: Awe na umri kwanzia miaka 18-27. Asiwe na mtoto yaani asiwe amewahi kuzaa, na awe na elimu kuanzia darasa la saba na mwisho ni degree level..

3: Awe hajawahi kutoa mimba wala kutumia njia za kisasa za uzazi wa mpango kwa namna yeyote ile.

4: Awe tayari kuitwa mama muda wowote na mwenye kujua thamani ya kua mke na kua mama na thamani ya mtoto na mume pia

5: Awe mtii na mwenye heshima kwa wakubwa na wadogo na kwa mimi mume wake na kwa watu wote wanao mzunguka

6: Asiwe amewahi kutumia vilevi vyovyote vile na asiwe anapenda mambo ya anasa na maisha mepesi mepesi ajue maisha ni kupanda na kushuka.. ni mwiko kuwa na tamaa na kulinganisha mumeo / ndoa yako na ya watu wengine

7: Asiwe katoboa masikio zaidi ya mara moja, asiwe katoboa pua, kitovu au sehemu yeyote ya mwili wake , asiwe kachora mwili wake tatoo yeyote na asiwe mfuasi wa kucha bandia au mwenye kubadili rangi ya asili ya nywele zake na ngozi yake ajikubali alivyo umbwa

8: Asiwe mwongeaji sana wala mtu wa kukaa vibarazani ( magroup group) awe anajiheshimu na kujipenda yeye mwenyewe na awe mshauri mzuri kwangu na kwa watoto pia tutakao jaliwa

9: Awe muwazi kwangu na msiri kwa watu wengine ajue kutunza siri za maisha ya ndoa yetu

10: Asiwe feminist, asiwe mwana harakati, na asiwe na mtazamo wa haki sawa .. awe anakaa kike - mwenye kupenda uanamke wake na mwenye kujikubali yeye mwenyewe

Kama upo teyari kua mke na unasifa hizo njoo pm

Nawasilisha
 
Masharti yameenda shule......hasa hilo la 10 maana ukijichanganya ukaoa feminist umekwisha!

JF hakuna mwanamke mwenye sifa zote hizo. Huku kuna ma feminist tu.

Halafu hicho kigezo cha 2, wewe una mtooto halafu hutaki mwanamke mwenye mtoto kwanini? Unataka mechi ianze 1-0?

Nyie ndio mnastahiri kuoana na hawa single mother ili mechi ianze 1-1
 
Sina mtoto , soma vizuri.. acha kukurupuka ndugu yangu
 
Masharti yameenda shule......hasa hilo la 10 maana ukijichanganya ukaoa feminist umekwisha!

10: Asiwe feminist, asiwe mwana harakati, na asiwe na mtazamo wa haki sawa .. awe anakaa kike - mwenye kupenda uanamke wake na mwenye kujikubali yeye mwenyewe
Mpwa unakazia

Mbona mpwawako umeninyima 😂😂😂😂
 
Habari za wakati huu....

Najua mabinti / wasichana / wanawake waliomo humu ndio hao hao tunaoishi nao mitaani hivyo wazo langu la kuoa nimelileta hadi humu pia japo na mtaani na lifanyia kazi zaidi huku nakumwomba Mwenyezi Mungu maana mke mwema anatoka kwake..

Mimi ni kijana mwenye miaka 32 sina mtoto , ni mpole na sitaki purukushani na mwanamke katika safari ya ndoa japo najua purukushani zipo ila ni zile za kiasili sio za ujinga ujinga sipendi , pia ni mpambanaji.

NATAFUTA MKE MWEMA WA KUOA..

BINTI AU MSICHANA awe na sifa zifuatazo:

1:Mkristo na mwenye hofu ya Mungu kweli kweli na awe mkweli ..

2: Awe na umri kwanzia miaka 18-27. Asiwe na mtoto yaani asiwe amewahi kuzaa, na awe na elimu kuanzia darasa la saba na mwisho ni degree level..

3: Awe hajawahi kutoa mimba wala kutumia njia za kisasa za uzazi wa mpango kwa namna yeyote ile.

4: Awe tayari kuitwa mama muda wowote na mwenye kujua thamani ya kua mke na kua mama na thamani ya mtoto na mume pia

5: Awe mtii na mwenye heshima kwa wakubwa na wadogo na kwa mimi mume wake na kwa watu wote wanao mzunguka

6: Asiwe amewahi kutumia vilevi vyovyote vile na asiwe anapenda mambo ya anasa na maisha mepesi mepesi ajue maisha ni kupanda na kushuka.. ni mwiko kuwa na tamaa na kulinganisha mumeo / ndoa yako na ya watu wengine

7: Asiwe katoboa masikio zaidi ya mara moja, asiwe katoboa pua, kitovu au sehemu yeyote ya mwili wake , asiwe kachora mwili wake tatoo yeyote na asiwe mfuasi wa kucha bandia au mwenye kubadili rangi ya asili ya nywele zake na ngozi yake ajikubali alivyo umbwa

8: Asiwe mwongeaji sana wala mtu wa kukaa vibarazani ( magroup group) awe anajiheshimu na kujipenda yeye mwenyewe na awe mshauri mzuri kwangu na kwa watoto pia tutakao jaliwa

9: Awe muwazi kwangu na msiri kwa watu wengine ajue kutunza siri za maisha ya ndoa yetu

10: Asiwe feminist, asiwe mwana harakati, na asiwe na mtazamo wa haki sawa .. awe anakaa kike - mwenye kupenda uanamke wake na mwenye kujikubali yeye mwenyewe

Kama upo teyari kua mke na unasifa hizo njoo pm

Nawasilisha
Huyu inabifi umuumbe mwenyewe mkuu,maana hayupo kwenye hii dunia
 
Unatafuta mke au unatafuta mwanamke wa kuoa??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom