Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna ka ukweli, Dar kutoa over 1.5 tunatoa wachache sana , Vichwa vya vijana wa Dar vipo vinawaza utajiri na mikeka hata hiyo hamu ya kutoa over 0.5 ni kisanga. Kiukweli mechi za mikoani kutoa...
4 Reactions
7 Replies
291 Views
Nguvu za kiume na nguvu za mwanaume kwa ujumla zipo kwenye miguu yake.
4 Reactions
14 Replies
415 Views
  • Redirect
UKIONA REDFLAGS HIZI USIOE 🚩 Sio kila anayekupenda anafaa kuwa mke wako, Wengine ni majaribu ya maisha. Kabla hujaoa, fungua macho yako vizuri 👇 1. Hana tabia ya kukubali makosa Kila kitu ni...
2 Reactions
Replies
Views
Wakuu,kidumu chama cha Mapinduzi? Hivi ni style gani ya kugegedana ambayo wanawake huwa wanaiogopa sana?
6 Reactions
104 Replies
6K Views
Wakuu 1. Kuoa ni tamaduni ya tangu kale,hata vitabu vyote vinazungumzia suala hili. 2. Kuoa kunaepusha msongo wa mawazo na maamuzi yasiyofaa katika jamii 3. Bajeti hujikita kumtunza mtu mwenye...
6 Reactions
7 Replies
192 Views
Kuna kauli imekuwa ikisambaa sana mitandaoni siku hizi, kwamba mwanamke akishalala na mwanaume, hata kama hakupata mimba, basi hubaki na DNA yake mwilini. Wengine wanaenda mbali zaidi na kusema...
11 Reactions
46 Replies
1K Views
Sijui hii hali kama kuna wengine Ishawahi wakuta, Umri wangu Niko kwenye late 20's miaka ya nyuma nilikua tongoza tongoza, aisee lakini sasa sijui nimekuaje, kama mwaka uliopita nimetongoza mdada...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Bila ya kua na amani ya uhakika kijamii, kisiasa na kiuchumi kamwe huwezi kufanya mapenzi kwa usahihi na katika ukamilifu wake, na badala yake wapenzi waliokosa amani, huishia kugusanagusana au...
1 Reactions
5 Replies
329 Views
Habari wadau, binafsi najiuliza Kwa nini ujauzito na uzazi huwapenda watu wasio na pesa? hawa watu, wanapata mimba kwa urahisi sana na haziharibiki na wanazaa bila matatizo. Ila sasa wale wenye...
3 Reactions
23 Replies
986 Views
Ninaandika kwa hasira kali sana. Unakuta umeenda zako kwa mganga unakutana na foleni kubwa ya kina dada wameenda kupata dawa za kupata waume wakati ndo haohao enzi wakiwa kwenye ubora walikuwa...
8 Reactions
24 Replies
587 Views
,Brigedia Hassan Ngwilizi amefariki dunia leo katika Hospitali ya Lugalo muda mfupi uliopita. Marehemu aliwahi kuwa Waziri wa Tamisemi na Naibu katibu mkuu CCM bara... Aliwahi pia kwenda kukaimu...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Nitafuta watoto wangu ni walee mwenyewe,maana sitaki ndoa na sitaki usumbufu. Ila mademu nitaish nao ila sio ndoa Kataa ndoa acha stress,kula bata maisha ni mafupi. Mama single faza Tanzania...
5 Reactions
23 Replies
371 Views
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa late 30’s, mkristo kwa imani. ambaye kwa sasa nina mtoto mmoja, yupo shule na nakuwa nae kipindi cha likizo. Kiufupi naishi nae. Nafanya kazi katika sekta binafsi...
0 Reactions
1 Replies
244 Views
Wewe mwanaume, unayemwaga bao la kwanza mapema kama jogoo, ili uepukane na aibu fanya hivi 👇. Kama unataka kushiriki mapenzi na demu/mke wako, hakikisha 'unapiga nyeto' kwa siri angalau dakika 15...
4 Reactions
9 Replies
655 Views
Nilienda katika bar huko Arusha nikampata mwanadada mrembo yupo na makalio makubwa kama Sanchoka. Nilikaa naye nikamnunulia pombe. Nikinywa pombe pia mimi niliwacha pombe nikaenda msalani lakini...
17 Reactions
32 Replies
3K Views
Yaan alilotenda jamaa uganda limewachaa wanajamii vinywa wazi,baada ya kumkuta mkewe na mwanaume mwingine kitandani. Jamaa alijawa na hasira...
2 Reactions
14 Replies
395 Views
Tusiingiliane kama umeona ndoa ina kufaa oa,na kama haikufai kaa pemben.Na usipooa mbelen usije ukalaumu mtu,ukizidiwa na kujinyea kwa nyumba.Hata mm sijaoa nani maamuz yangu kwa hiyo,nikiishi na...
3 Reactions
5 Replies
169 Views
Ndoa ni mpango wa Mungu,ni mpango wenye manufaa makubwa sana kwa binadamu. Hivi sasa kumezuka kampeni ya kupinga ndoa,kwa musingi ya dosari za kibinadamu baina wa wanawake na wanaume.Hakuna...
17 Reactions
197 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mtanashati,,,Sina mambo mengi,,mpole,muelewa,mcheshi... Nahitaji RAFIKI WA kike umri wowote,,,KARIBU PM...tuyajenge
2 Reactions
9 Replies
576 Views
Back
Top Bottom