Wakuu msiogope kudai zawadi zenu mnazopeana wakati wa uchumba/penzi likiwa moto kwa ahadi ya ndoa ikiwa mahusiano hayo yatavunjika.
Sheria ipo na inaifanya kazi.
Ukweli ulivyo
Sheria ya...
Unajua, maisha ya ndoa au mahusiano ni kama filamu ya action, lakini siku ukikutwa na "ushahidi" usio na maelezo, filamu inageuka kuwa ya mtihani mkubwa! Hebu fikiria, mkeo anafanya usafi...
Huyu binti nimemtangazia nia ya kumfanya mchumba na mwisho awe mke wangu akakubali, baada ya kunikubalia akaanza kupiga vizinga vya hapa na pale
Nimeona Nikabie Juu maana hivi vizinga vinazidi...
Ndugu zangu..
Uzi huu ni maalumu kwaajili ya kuelezea kero unazokumbana nazo kutoka kwa watoto waliozaliwa mwaka 2000 na kuendelea ,pia unatoa fursa ya kuweka maoni yako ni nini hasa kifanyike...
1. Kuoga pamoja.
2. Kupiga mazoezi pamoja
3. Kula pamoja
4. Kupiga mswaki mmoja pamoja fanya haya mambo utakuja unitolee sadaka ya kujimaliza baada ya mafanikio.
Usiku mwema mayo Seran
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, hebu mtazame kijana huyu jinsi anavyoharibu gari alilonunua kwa mamilioni ya hela kwa sababu tu ya kutofautiana na laazizi wake:
Je, wewe unaweza kuvunja gari...
Ndugu zangu.
kwanza kabisa Nipende kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi aliyonijalia maishani mwangu ..
Pili Nipende kuwashukuru wana jf wote kwa mawazo yao na ushauri wao kuhusu changamoto...
Dada wa msanii Alikiba, Zabibu Kiba ameweka wazi kuwa Ex-Husband wake (Abdi Banda) ni baba bora sana kwa mwanae kwani amekuwa na mchango mkubwa sana kwenye malezi ya mtoto wao.
"Sina ugomvi...
Mtaalamu wa saikolojia, Leonard Mgina, amesema kuwa ndoa siyo jambo linalofaa kwa kila mtu, akisisitiza kuwa baadhi ya watu wameumbwa kuishi maisha ya upweke (single) kutokana na tabia zao...
Hii mada ni maalum kwa wenye kupenda asili, ukimya utulivu na wenye kujitafuta kiroho ama kujitakasa
Je umeshawahi kutembelea mwituni kwenye "Crystal clear water" yanayotirika kwa utulivu na...
Wakuu naombeni ushauri wa kitaalam pengine Kuna changamoto ya ugomjwa inanisumbua bila Mimi kujua.
Iko hivi:
Mimi ni kijana wa miaka 36 na nina kitambi cha wastani flani tu. Nina mke na mtoto...
Wakuu, sijawahi kupitia unyonge, upweke na wasiwasi kama huu ninaopitia hivi sana.
Mpenzi wangu ni mwanachuo katika chuo mkoa X. Wanakatazwa kutumia simu. Huwa anatumia simu za walimu wake...
Nikimalza la Kwanza anadai amechoka na anaogopa la pili anasema nachelewa Sana kumwaga. Nishamfatilia Sana hana michepuko wala nini na ni church girl.
Nawaza kuwa na plan b Ila ana wivu balaa...
Habar za mda huu ndugu
Kuna kitu nimekuwa nikikigundua kuhusu maisha yangu kadiri ninavyozidi kukaa na kujitafakari mimi ni mtu ambaye mara nyingi napenda kuwa busy na kujishughulisha na mambo...
Nina hasira na huzuni kwa pamoja, naomba niende direct kwenye mada ....
Akitokea Kaole Secondary School alienda kusoma Dar es salaam School of Journalism (DSJ).
Mwamba akiwa mpambanaji, kama...
Iko askari mpumbavu aliamua kumsomesha mpenzi wake chuo kikuu alitumia takriban 800,000 za kenya baada ya kuhitimu mpenziwe alimuacha na kusema ako na elimu zaidi ya polisi.
Polisi alimfuata kwake...
Mwanaume usijikite sana kwenye mapenzi, saka hela kwanza na kujiekeza. Usipoteze muda mwingi kutafuta mapenzi, utaumia, aliye na uwezo kuliko na atakunyang'anya demu...
Wapo wanaume wenzetu mamia kwa maelfu walishawahi kutapeliwa kwa kuaminishwa kuwa mchumba wake ni bikira.
Hawa ni wanaume ambao wengi wao Mkuu wa makuhani Natafuta Ajira huwaita NICE GUY au mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.