Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mmebarikiwa kuongeza mwanafamilia mpya hivi karibuni, hongereni! Mama na mwanafamilia mpya wamepumzishwa sakafu ya juu kabisa ya mahali hapo, wodi mahususi. Sorry, hayo unayajua. Usilolijua ni...
4 Reactions
31 Replies
383 Views
Uzi maalumu wa visa tulivyo wahi kufanyiwa na wake zetu wawapo wajawazito,ambavyo baada ya kujifungua havitokei. Na wewe mama,ulipokuwa mjamzito, uliwahi kumfanyia kisa gani mumeo mpaka leo...
8 Reactions
68 Replies
1K Views
Kwa wazoefu,mimi ni baba kijacho,nafikiri elimu nitakayo ipata hapa si mimi tu itaninufaisha, bali pia wapo wababa/wamama ambao nao eidha wanatarajia kuwa baba/mama vijacho, tupeane elimu ya bure...
6 Reactions
41 Replies
484 Views
Mwanaume kabla ya kufikiria kuhusu ndoa jifunze kutoa kitu kwanza maana huku wenzako tunatubu. Wanawake kwanini tukipishana kauli kidogo tu mnanuna na chakula hampiki mnataka tukale wapi wakati...
8 Reactions
32 Replies
1K Views
Nawasalimu katika jina la Bwana Yesu Christo. Kuna maamuzi nataka kuyafanya, ila kabla ya kutoa uamuzi wa mwisho nikaona si mbaya nikiomba ushauri kwa wataalamu wa mambo ya mahusiano humu jf...
10 Reactions
113 Replies
2K Views
Ni habari ya zamani sana huko kijijini sitimbi lakini hadi leo nacheka sana nikikumbuka! Ilikuwa hivi, kuna binti mmoja kijiji cha jirani alikuwa hataki kunipa mchezo, nikachoka...
84 Reactions
381 Replies
64K Views
  • Redirect
Mwanaume usiogope kula nyeto,nyeto inafaida kibao,wanasayansi wamefanya utafit kuwa nyeto inaondoa msongo wa mawazo na tena hujisumbui kutafuta mademu.maana unapata ashiki binafsi,na tena nyeto...
1 Reactions
Replies
Views
Unaweza kuhitimisha kwa kusema, Inafedhehesha sana, Inasikitisha sana, Inasononesha sana kwakeli. Uzuri wanakiri wenyewe kupiga nyeto kwa muda mrefu sana. Ni aibu mno ndrugu zango.. Hivi sasa...
8 Reactions
85 Replies
4K Views
Hii ni kwa jinsi zote muwe makini sana nyumba isiyo na Amani ni gereza hatari sana Unakuta kuna kila kitu lakini furaha ndio hamna na maisha bila amani hayana thamani.
15 Reactions
74 Replies
873 Views
Wakuu msiogope kudai zawadi zenu mnazopeana wakati wa uchumba/penzi likiwa moto kwa ahadi ya ndoa ikiwa mahusiano hayo yatavunjika. Sheria ipo na inaifanya kazi. Ukweli ulivyo Sheria ya...
4 Reactions
28 Replies
495 Views
Unajua, maisha ya ndoa au mahusiano ni kama filamu ya action, lakini siku ukikutwa na "ushahidi" usio na maelezo, filamu inageuka kuwa ya mtihani mkubwa! Hebu fikiria, mkeo anafanya usafi...
25 Reactions
88 Replies
1K Views
Huyu binti nimemtangazia nia ya kumfanya mchumba na mwisho awe mke wangu akakubali, baada ya kunikubalia akaanza kupiga vizinga vya hapa na pale Nimeona Nikabie Juu maana hivi vizinga vinazidi...
12 Reactions
32 Replies
721 Views
Ndugu zangu.. Uzi huu ni maalumu kwaajili ya kuelezea kero unazokumbana nazo kutoka kwa watoto waliozaliwa mwaka 2000 na kuendelea ,pia unatoa fursa ya kuweka maoni yako ni nini hasa kifanyike...
3 Reactions
13 Replies
343 Views
1. Kuoga pamoja. 2. Kupiga mazoezi pamoja 3. Kula pamoja 4. Kupiga mswaki mmoja pamoja fanya haya mambo utakuja unitolee sadaka ya kujimaliza baada ya mafanikio. Usiku mwema mayo Seran
9 Reactions
107 Replies
1K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, hebu mtazame kijana huyu jinsi anavyoharibu gari alilonunua kwa mamilioni ya hela kwa sababu tu ya kutofautiana na laazizi wake: Je, wewe unaweza kuvunja gari...
8 Reactions
53 Replies
1K Views
Ndugu zangu. kwanza kabisa Nipende kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi aliyonijalia maishani mwangu .. Pili Nipende kuwashukuru wana jf wote kwa mawazo yao na ushauri wao kuhusu changamoto...
10 Reactions
72 Replies
1K Views
Dada wa msanii Alikiba, Zabibu Kiba ameweka wazi kuwa Ex-Husband wake (Abdi Banda) ni baba bora sana kwa mwanae kwani amekuwa na mchango mkubwa sana kwenye malezi ya mtoto wao. "Sina ugomvi...
5 Reactions
12 Replies
496 Views
Mtaalamu wa saikolojia, Leonard Mgina, amesema kuwa ndoa siyo jambo linalofaa kwa kila mtu, akisisitiza kuwa baadhi ya watu wameumbwa kuishi maisha ya upweke (single) kutokana na tabia zao...
3 Reactions
6 Replies
287 Views
  • Redirect
13 Reactions
Replies
Views
Hii mada ni maalum kwa wenye kupenda asili, ukimya utulivu na wenye kujitafuta kiroho ama kujitakasa Je umeshawahi kutembelea mwituni kwenye "Crystal clear water" yanayotirika kwa utulivu na...
10 Reactions
25 Replies
578 Views
Back
Top Bottom