Natumai hamjambo wananzengo
Wakuu kuna binadam wana moyo sana, hili nimelithibitisha baada ya huyu bwana kunisimulia kisa chake.
Ipo hivi, huyu bwana alisoma chuo kimoja na mpenziwe, wakiwa chuo...
Kwenye mchezo wa kandanda kinachohitajika na kupata pointi tatu muhimu, hii ni muhimu Sana, haitajilishi unashinda hyo mechi Kwa goli 1, 2, 3au goli 4 muhimu ni kupata point tatu haijalishi...
Binti anawapanga Wanaume zaidi ya watatu kwa mpigo bila wao kujuana na kujua kwamba wapo wenyewe.
Ipo hivi wakuu, huyu mwanamke ni binti anauza duka la karibu na ofisi yangu (mimi ni...
Mimi katika maisha yangu nilishaapa sitooa mwanamke mwenye mtoto sababu ninajua mahawala hawaachani tena kama wamezaa ndio huwezi kuzuia kwa kisingizio matunzo ya mtoto kumbe jamaa anakumbushia...
Mwezi wa pili nilimkopesha dem fulani hela, alikuwa ndio amehamia geto kuna vitu alikuwa lazima anunue.
Kiwango cha pesa sitokitaja 😂, aliniahidi kurudisha katikati ya mwezi wa 3 sasa naona siku...
Habari za mchana ndugu zangu.
Naishi na mzazi mwenzangu na alishakuwa na watoto kabla ya kukutana na mimi...
Ni hivi, juzi alimpost mtoto nisiyemjua status kumuuliza ni mtoto wa nani akaniambia...
Salamu zenu wakuu Wana JF,
Mwanaume fanya yote Ila usije ukaoa mwanamke mwanaharakati eti wanatetea haki zao kwenye Ndoa nao ni wapambanaji.
Mfano si mnaona mdada maarufu hapa mjini mama ntilie...
Ipo wazi kuwa katika mfumo rasmi wa maisha ya mwanadamu, huwa unahusisha pia muunganiko wa jinsia mbili tofauti (ndoa). Ila kwa kadri siku zinavyoenda, muunganiko huu umegeuka kuwa changamoto sana...
Hi Wanajamii,
Kama title hapo unavyoiona kiukweli mimi pia ni muhanga wa hili jambo yaan kupagawa na muonekano wa pisi kali lkn baada ya kuingia ktk uhusiano kiukweli ni majutoo , vizinga kibao...
Wasalaam....
Naomba niende moja kwa moja kwenye huu uzi ndugu zangu, huku kipenga kikiwa tayari kimeshapulizwa [emoji350]
Twende kazi sasaaa.....
Ni mwaka sasa umepita tangu niachane na Ex...
TAMAA
Tamaa huwa haidumu kamwe.
Tamaa hupigwa na kukimbia.
Tamaa ni matumizi ya muda kisha unatupa.
Tamaa huchochewa na ubinafsi.
Tamaa huwa haina subira.
UPENDO
Upendo unajituma.
Upendo...
kunasiku nilileta mada hapa kuomba ushauri kuwa wife ananinyima unyumba kila kazi zangu za ujenzi zinapo pungua huwa nakosa hela basi hapo hutokea masimango ugomvi mpaka kunyimwa unyumba...
Habari mimi ni msichana wa miaka 21 natafuta mchumba ambaye atakuwa tayari kuwa na mahusiano na mimi bila sex hadi ndoa.
Elimu: Chuo mwaka wa pili. Nachukua degree ya special education.
Dini...
Jamani wanajf katika harakati zangu za kupunguza uiringa na kuingiza udar kiasi kichwani nkaenda kwenye bar ya kitambaa cheupe Sinza pale nilichoona ni hatari wanawake wamejichora Tattoo miilini...
Huu ni motto wangu
Tangu yule Baby J, pale Lindi 2007 alivyonitamkia wakati namtongoza Ili twende beach pale Kariakoo Kwa chini Ili
kibamia changu kitoe gundu.
"Kilimba we ni handsome,ila huna...
Njia pekee ya kuacha aibu ni kufanyia mazoezi.
Fanya mazoezi ya kuwa jasiri utakavyo.
Fanya mazoezi kwa wanawake wengi uwezavyo.
Ongea chochote na wanawake wengi uwezavyo. Huna cha kupoteza wakati...
Habari za Jumatano hii! Leo nilikuwa na tafakuri nzito kuhusu personality ya watu kama R. Heriel humu jamiiforam. Si Robert tu, kuna huyu mtu anaitwa Wyatt Mathewson pia.
Nilichojifunza kuhusu...
Kusema kweli nyie viumbe mnaoitwa wanawake mna tabia mbaya Sana.
Mwanaume anaamua kukuoa baada ya kufanya mchujo uliotukuka, na wewe ndo unakuwa mwanamke bora Kati ya wanawake wote.
Cha ajabu...
Hili tatizo limekuwa na Phase tatu. Miaka ya nyuma kabisa wanawake ,mabibi zetu walikuwa hawatakiwi kusikia raha ya mapenzi. Mwanamke akionekana ana enjoy mapenzi alionekana malaya.
Miaka hiyo...
Kheri ya mwaka mpya wadau!
Mara nyingi kila nikipita humu nakutana na thread nyingi zenye kulalamikia wanawake baadhi ya matendo yao mabaya wanayotufanyia wanaume,kwa mfano unakuta mwanaume...