Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nina mahusiano na dada mmoja na nlitegemea awe mke wangu hapo baadae. Huyu dada ana mtoto na jamaa mwingine na alivyoniambia na kwamba hawana mahusiano tena na baba mwenye mtoto nkakubali...
3 Reactions
100 Replies
18K Views
Hellow afracan, Wanawake mnakuwaga chanzo cha watoto kukosa huduma zao za msingi kutoka kwa baba zao kwasababu ya kauli zenu, kuna wanawake ambao huwa hawajitambui ukisha zaa na mtu unajua hali...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Kabla hujataka awe na hisia na wewe zaidi. Kabla hujataka akupende zaidi. Anza kwanza kumfanya awe na imani nawe. Ili aweze kujiachia kwako. Akishakuamini ni rahisi kukupenda zaidi, kukusamehe...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Nadhani moja ya sababu iliyonifanya kuachika ni kumlaumu mke wangu kwa mambo mengi na hivyo kusababisha mapigano/magomvi makubwa. Nikiwa na mpenzi wangu mpya, simlaumu kwa chochote. Mimi huchukua...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Wanaume wengi tumekua tukisema wanawake hawaeleweki... Ni kweli sababu wenyewe wana jiendesha katika taswira tata. Ujumla wa taswira hiyo tata ni kwa manufaa ya uwepo wao ila kikubwa zaidi ni...
4 Reactions
51 Replies
4K Views
Kama ilivyo desturi, natanguliza salamu zangu kwenu. Jamani kama ninavyosisitiza kila siku kua,ulimwengu wa pili una manyang'au wasiopenda uona watu wanafurahia kwa namna yoyote. Mlinde sana...
6 Reactions
104 Replies
6K Views
_*A DIVORCED SINGLE MOTHER WROTE*_ I am writing to you in order to make someone understand that it's good to appreciate our partners despite their flaws. I am 32 years of age. My ex husband...
18 Reactions
56 Replies
6K Views
Ukiwa kama mtoto wa kiume unayetegemea kuoa je, unaweza kuoa mwanamke mwenye mtoto?
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Unakuta mwanaume unakaza fuvu na misuli unasaka hela alafu unaacha kuzilia bata na kufanya matanuzi ya hapa na pale , bali unazitumia kumuhudumia mwanamke wako hata viela vya kubadili pichu...
15 Reactions
46 Replies
3K Views
Kuna hi kauli kwamba kama wataka kufa na presha au depression oa mke moja utapata kila aina ya dharau tabia mbaya kutoka kwake, hata Raisi mstaafu hassani mwinyi kataboa hiyo siri ka himiza vijana...
3 Reactions
12 Replies
598 Views
Na ikitokea ukakataa wakufute naniliu zako baada ya Mshughuliko huo wa Kibaiolojia hununa ( huwa na Usununu ) sana. Nitashukuru nikiijua sababu Kuu yao. ANGALIZO Kwa Wewe KISOKOLOKWINYO (...
9 Reactions
44 Replies
3K Views
Jana, katika harakati zangu za kila siku, nilikumbana na tukio ambalo limeacha hisia nzito moyoni mwangu. Nilipokea kikaratasi kutoka kwenye Gari la Magereza, kilichotupwa kwangu na mmoja wa...
2 Reactions
6 Replies
683 Views
Ndio tunakutana na marafiki wengi kwenye michakato ya utafutaji riziki wengine tunasaidiana saana ila unamkuta mshkaji katoboa sikio anavaa hereni huyu kumpeleka kwenu kwa maadili ya kwenu nakua...
6 Reactions
6 Replies
785 Views
Wanajamvi, salaam, imekuwa ni utamaduni wa walio wengi kuvishana pete za uchumba cha ajabu hapa, anayevishwa ni mwanamke, kwanini mwanaume havai? Baadae wanandoa huvalishana pete za ndoa. Hizi...
0 Reactions
28 Replies
18K Views
Msaada wenu, Mwanamke ananambia ana mimba ila sijui kama ni yangu kweli. Mpaka sasa tuna siku 10 toka tumeachana.
9 Reactions
91 Replies
4K Views
Wakuu haka ka weekend ka leo kazuri nimetulia home napitia pitia threads humu. Ila kuna kitu nimegundua, najua kuna watu humu walishapata wenza na wengine wamekosa kabisa Baada ya kupitia threads...
2 Reactions
26 Replies
6K Views
Habarini ndugu zangu; Natumaini wote wazima wa afya tele na mapambano yaendelee tuzidi kuuchukia umasikini Basi iko hivi mimi ni mwanamke ila ninarafikiangu wa kiume wa shida na raha sio bwana...
4 Reactions
72 Replies
3K Views
Kwa kawaida imezoeleka kwenye jamii nyingi za ki Afrika mtoto wa kike ndio mwenyE kupewa elimu jinsi ya kujitunza utasIkia mara ooh mtoto wa kike unatakiwa kua msafi, jichunge na mapenzi kabla ya...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Malezi ya siku hizi ya ovyo kabisa eti unakuta wazazi wanawalea watoto wao kama kuku wa kisasa hasa hawa wa kiume yani mtoto mpaka anakua mtu mzima hajui shida yani anakua yupo slow slow yani yupo...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Kukataliwa na Mwanamke uliyetokea kumtamani sana imekua ni mala nyingi sana. Christian Ray nadhani hata wewe nimuhanga katika hili. but mala nyingi ni tamaa tu ya nje. na kumbe huyo mwanamke hana...
5 Reactions
35 Replies
12K Views
Back
Top Bottom