jjs2017
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 2,027
- 4,316
Unakuta mwanaume unakaza fuvu na misuli unasaka hela alafu unaacha kuzilia bata na kufanya matanuzi ya hapa na pale , bali unazitumia kumuhudumia mwanamke wako hata viela vya kubadili pichu, nywele zake bandia bandia na kucha zake bandia , anakuja jamaa mwehu mwehu ana mvua pichu na kukukazia mwanamke wako na kumkojolea wazungu ndani kabisa , unakuja kugundua eti mwanamke anakuambia aliteleza tuu ni shetani alimpitia ...