Wakuu poleni na majukumu ya kulijenga taifa.
Moja kwa moja kwenye mada. Huyu mwanadada kwa kweli nilimwelewa sana na kuwa naye kwenye mahusiano ikatokea friction akapelekewa maneno na bypassers...
Leo naomba niwe brief mno kwenye hili.
Wanawake wengi hawana habari kuwa michepuko ya waume zao ina drive magari makali kama vanguard, harriers etc.
Wewe hujanunuliwa hata bajaji ila mwenzako...
Wapendwa nimeamua ku move from my house to be away from my husband not sure forever or for sometime.
I have moved with the kids. Najisikia nina amani kiasi sasa though there is so much pressure...
Kama heading inavyojieleza katika mikoa michache niliyotembea na kujionea hizo umbaji za Allah, kwa dodoma kuna kitu cha tofauti,
Malaya wa dodoma hawajali chochote kuhusu Condom wao...
Nilifika sehemu kwa ajili ya kujipumzisha na kupata moja moto moja baridi baada ya mizunguko ya siku nzima.
Moja kwa moja nilifika counter nikachukua castle lite baridi, nikalipa elfu mbili tu...
Wakubwa: Shikamoo
Wadogo: Marhabaaaa
Niende kwenye mada.
Leo nilikuwa na harakati zangu tu hapa town, sasa mida ya kurudi nyumbani nipo Kawe pale magari yakawa ya shida saaana, kitendo...
Habari wana jf naiman wote tuwazima wa afya, nitumie fursa hii kuwapa pole na majukumu yetu ya kila siku bila kumsahau aliyejuu kwa fadhili zake.
Wanajamvi nimekuja kwenu nahitaji msaada, mm ni...
Habari ya weekend ndugu zangu..
Naombeni ushauri wakuu
Nataka kuoa ila mpaka sasa nashindwa kujua ni yupi ni mchague hapa
1: huyu binti ni mchaga wa kimarangu
alisha wahi kua kwenye mahusiano...
Matokeo yoyote yanatokana na mchakato/ mfumo fulani.
Hasa matokeo yatakayokupa furaha na maendeleo kwa muda mrefu.
Kujali mchakato ni kufanya kila unachotakiwa kufanya kwa muda huu bila kujali...
Mimi ni Mwanaume miaka 28 mkazi wa Dar es Salaam natafuta mchumba
Mimi ni mtumishi wa serikali, mwanamke awe mkazi wa Dar umri 25 kushuka chini asiwe na mtoto elimu yake kidato cha nne na...
"Wanaume wa Dar" ni jina ambalo limekuwa linatumika sana mitandaoni likiwa na maana ya kudogosha uanaume wa vijana awa waliozaliwa mjini.
Sifa kuu ya wanaume wa Dar ni usafi, ujanja, exposure na...
Habari wana JF,
Mimi ni mama wa mtoto mmoja binti wa miaka 4. Mtoto akiwa na miezi 3 tulishindwana na baba wa mtoto hivyo nikaondoka kwake, tulikuwa tunaishi pamoja (alinitolea mahari...
Wasalaaaaam....
Wazee mimi naishi na manzi sasa ana mimba yapata miezi saba sasa, ila kinachonitatiza sina mzuka kabisa wa kumgonga mwanamke mwenye mimba. Yaani mimba kubwa tumbo hiiloooooo...
Eeh bwana eeh it's me Mr. Liverpool again.
Mwenzenu nimekaa nikawazaa na kuwazua, nikaona dah "BAGOSHAAAA wanaume TUNANYONYWA SANAA"
Iko hivi.....
Mr. Liverpool ni mkulima wa Parachichi na...
Huwa kuna demu mzuri mitaa ninayoishi nimekuwa nikipata bahati ya kukutana nae huwa kwa bahati mbaya au nzuri nimekuwa nikijikuta nimevaa nguo ileile.
Nina nguo nyingi nzuri tu kama kijana wa...
Wakuuu
Kwanza kabisa hiyo miaka kumi nimeweka kama wastani tu, maana mwingine leo ana miaka 25, naongelea miaka saba iliyopita, yaani wakati ana miaka 18, mwingine leo ana 27, naongelea...
Tumekuwa katika mazingira ambayo tunaambiwa ukimuota unafanya nae mapenzi mwanamke unaetaka kuwa nae kimahusiano au unampenda hutakuja kumla kamwe. Mi nikiangalia kunaviasilimia fulani hivi kuna...
Mida fulan nimetoka kupata huduma Duka jirani hapa.
Sasa wakat natembea Mbele yangu alikuapo Mdada mmoja na wamama wawili wanatembea wakipiga stori
Haka kadada kiumri ana miaka 20-25...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.