Uncle Jei Jei
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,683
- 2,158
Wanajamvi, salaam, imekuwa ni utamaduni wa walio wengi kuvishana pete za uchumba cha ajabu hapa, anayevishwa ni mwanamke, kwanini mwanaume havai?
Baadae wanandoa huvalishana pete za ndoa. Hizi pete zinamaanisha nini hasa?
Utamaduni huu ulianzia wapi na ninani mbunifu wa hii kitu?
Zaidi kinachonivuruga akili, KUNA UHUSIANO GANI KATI YA MAPENZI NA PETE ZA UCHUMBA AU ZA NDOA?
Naomba kuwasilisha hoja