Anzia mwisho kurudi mwanzo utaona tu kama nyaya ziliungana au unauziwa NIDA mpyaYani nimkaushie sindio
Nenda na hesabu Mwanetu usiuziwe NIDA ya mtu[emoji3][emoji3][emoji3] Kaka tangu tulivyoachana mpka Sasa imefika siku11 so kumi nimekosea mm kanambia Jana.
Hamjaachana Dogo[emoji3][emoji3][emoji3] Kaka tangu tulivyoachana mpka Sasa imefika siku11 so kumi nimekosea mm kanambia jana
Punguza kuongea ukweli kidogo😀😀ulichapa kavu saivi ndo unaelewa kwamba nepi ni ghali kuliko condom.... acha moto ukuwakie...
ajikaze ameyataka mwenyewe....Punguza kuongea ukweli kidogo😀😀
Ila si mlifanya mafekeche au😂😂😂[emoji3][emoji3][emoji3] Kaka tangu tulivyoachana mpka Sasa imefika siku11 so kumi nimekosea mm kanambia jana