Wanawake acheni kupandikiza chuki kwa watoto, mnawapa ujinga

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
17,796
32,148
Hellow afracan,

Wanawake mnakuwaga chanzo cha watoto kukosa huduma zao za msingi kutoka kwa baba zao kwasababu ya kauli zenu, kuna wanawake ambao huwa hawajitambui ukisha zaa na mtu unajua hali yake kwanini usimvumilie kulingana na hali yake kwa nyakati ambazo amekwama kiuchumi au anapokuambia hana hela.

Wanaume tumekuwa tukibebeshawa mizigo zito sana hasa hawa walio zaa waki nyumbani kwa wazazi wao hupandikiza chuki kwa watoto kuwa baba yako ni babu yako huyu baba yako hakupendi hakujali ata nguo ya shule anashindwa kukununulia wakati uho mama mtoto katumiwa pesa amekula badala yake anapandikiza chuki kwa watoto na wazazi.

Kama umezaa na mwanamke mchukue mtoto wako ishi nae mpeleke hata kwa mama yako akae huko hawa wanawake wanafanya sisi wanaume tuonekane hatimizi majuku yetu.

Huwa nachukia sana wanawake ambao wanapandikiza chuki kwa watoto ili baba achukie na watoto au mtoto huu ni uaji na ukatili usio vumilika.
 
Mtoto huwezi kupewa custodian akiwa yuko under 7 years.

Jitahidi huduma muhimu kama ada peleka direct shuleni mpe risiti.
Sikia umekalili vibaya mtoto unaweza kupewa muda wowote isipokua unatakiwa uwe na sababu zenye mashikio as if mama ni kichaa au anadakili za ukichaa pia kama mazingira ya mamani manaya kwa mtoto kuishi
 
Unazo hizo sababu?
 
Usiwabebeshe mzigo wazazi wako,Kama umeamua kuzaa kabla ya ndoa au mmeshindwana na huyo mzazi mwenzako hakikisha mnalea mtoto wenu wenyewe.Mzazi wako amekulea wewe na wewe Lea mwanao.
 
Usiwabebeshe mzigo wazazi wako,Kama umeamua kuzaa kabla ya ndoa au mmeshindwana na huyo mzazi mwenzako hakikisha mnalea mtoto wenu wenyewe.Mzazi wako amekulea wewe na wewe Lea mwanao.
Kwaza kabisa kaka soma mada elewa mimi sina ilo tatzo
 
Sikia umekalili vibaya mtoto unaweza kupewa muda wowote isipokua unatakiwa uwe na sababu zenye mashikio as if mama ni kichaa au anadakili za ukichaa pia kama mazingira ya mamani manaya kwa mtoto kuishi

Kwa nini uzae na kichaa au mwenye dalili na ukichaa?
 
Iko hivi, kama huyo mwanamke kafikia hatua ya kukuvunjia Heshima ya UTU wako wewe kama original blood, usitegemee hiyo copy ya blood yako ( yaani watoto wako ) atawaheshimu na kuwajali.

Na ndio maana watoto wengi waliolelewa na masingle maza ( hasa hawa wa kizazi hiki ) ...mitoto inakuaga kama miumini ya pasta makenzi. Bure kabisa!!!
 
Ujakosea hiyo mitoto inaongoza kulia bila sababu anataka kula analia anshindwa sema napataga hasira
 
Back
Top Bottom