Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habar wakuu bila poteza muda ngja niende direct kwa mada hasa kwa wale wadau wa kununua papuchi mitaa ya lacharz. Jana jamaa yangu yaliyo mkuta hana hamu tena ya kununua malaya. Jana mida ya sa3...
24 Reactions
396 Replies
81K Views
Wakuu Nakumbuka Ile December siku ambayo kesho yake ni xmass, ndo siku Aliingia period Kwa mwezi huo. Kisha Kaja kuingia Tena period mwezi January tar 20 Baada ya hapo kaingia Tena period...
8 Reactions
106 Replies
6K Views
Nimeikuta hii mahala! Ni kwanini ipo hivi!!? Au ni kwasababu kuna nadharia kua mwanaume ndio anatangulia[emoji848] Au wanawake hawana mali za kuandikia mirathi!!? === Ameandika Yericko Nyerere...
6 Reactions
72 Replies
3K Views
Ni kama miezi miwili sasa nlikutana naye Bank fulani town nikiwa naenda weka mkwanja. Akashoboka. Basi mi mlume ndago nikasema hamna noma kama vipi tuunge. Basi ikawa hivyo. Sasa ana ushamba wa...
9 Reactions
39 Replies
3K Views
Habari za jioni wazee wenzangu, Kwa wale wakongwe kwenye mahusiano, umeshawahi kugundua kuwa siku mkeo akiangalia tamthilia (hasa kabla ya kulala), halafu ikatokea amevutiwa sana na actor wa hiyo...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Hii inawahusu wanaume waliooa ila hawapendi kuwatoa out wake zao. Mtoe out mkeo, ni mwanamke mzuri ambaye alihatarisha maisha yake ili kukupatia watoto. Anakuhudumia chakula kitamu kila siku...
14 Reactions
43 Replies
3K Views
Huyu kala pesa zangu nyingi lakini hataki kutoa mzigo. Alinipa mara Moja tu Tena baada ya kulazimisha. Najitahid niachane nae lakini nafsi inagoma. Kibaya zaidi tumepanga ghorofa Moja. Akiniona...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Nipokeeni ndugu zangu 1: Sifa awe miaka 18-27 2:Mkristo 3:Mwenye heshima na utii wa kweli 4:Asiwe na mtoto wala asiwe amewahi kutoa mimba 5:Asiwe ametoboa pua, kitovu au masikio zaidi ya mara...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Natamani ningetumia muda mwingi zaidi pamoja naye. Natamani ningekua namsikiliza na kuongea naye. Natamani ningemtongoza mapema kabla jamaa hajamchukua. Saivi yupo na bwana mwingine. Hiyo ni...
1 Reactions
1 Replies
479 Views
Ndugu zangu habari za Jumatatu, nawasalim. Mimi na mke wangu tumebahatika kupata watoto wawili kwenye ndoa yetu yenye miaka nane. Sisi wote ni waajiriwa, kwa muda mrefu, nimekuwa nikijiuliza...
11 Reactions
160 Replies
33K Views
Baada ya kipindi kirefu leo nimechanwa makavu kuwa its done. NB: Sina kosa, ila ni ujobles na kibunda hakisomi. Kila siku kuna mishe nasikilizia na ni kweli kuna mishe naisikilizia huu mwaka...
8 Reactions
48 Replies
3K Views
Tuanze na mwanzilishi wa neno "mbususu" sijui aliwaza nini. Linafanania na mahala husika. Wanawake walitambue hili Twende kwenye hoja. Huyu rafiki hana cha maana cha ku-share na wenzie tofauti na...
11 Reactions
54 Replies
3K Views
Habari za sasa wakuu. Nikutanapo na wawili( Me na Ke) wako kwenye mahaba au mapenzi motomoto, napata wivu mkubwa sana. Wakati mwingine hadi hasira huwa zinanikaba( Hasira za kujiuliza kwanini...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu, mmi ni kijana mwenye 27yrs nmekuja hapa nina changamoto moja ninaomba msaada wa kimawazo au solution ikibidi, ipo hivi; Mwaka 2020 nlikutana na manzi mmoja ambae...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wasalaam; hii ilitokea, Nakumbuka miaka ile, tukiwa tumehitimu kidato cha sita, mtaani kwetu tulikuwa vijana 6 ambao tulikuwa tumehitimu elimu ya sekondari. Miaka ile utaratibu wa kujiunga na...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa nini miaka 40+? Kwa sababu kwa umri huo hata ukiupata ukipiga dawa unaweza kutoboa miaka 60 ambao ni life expectancy ya mtanzania. Tumepitia kipindi kigumu sana, nakumbuka nikiwa O level...
44 Reactions
234 Replies
18K Views
Wakubwa;shikamoo Wadogo;marhaba Niende kwenye mada, Ugomvi,migogoro ni sehemu ya maisha yetu wanadamu, yani hii changamoto haiwezi kukwepeka kwenye maisha yetu, je unaweza kukabiliana vipi...
8 Reactions
35 Replies
1K Views
Habari za humu! Najua Kila mtu ana mtazamo wake hivyo tunaleta hoja Ili kijadilo mwishoni tujifunze kitu. Katika pita pita za maisha nimejadilibu kuangalia baadhi ya sample za ndoa za watu...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu mmebarikiwa sana. Leo taeleza upande mwingine kuhusu mama yangu na ma mdogo na ndugu wa mzee kisha mtaunganisha na ule uzi mwingne wa kwanza maana pengne kuna watu humu wanakurupuka...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari jf Moja kwa Moja nije kwenye mada yangu. Nina ishi na huyu mwanamke tangu 2020 na tumejaaliwa kupata mtoto Mmoja japo hatujafunga ndoa lakini nililipia mahari Amekuwa na wivu sana kuhusu...
8 Reactions
69 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…