Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mnavyojua tena wakuu, mimi huwa napenda vitu vizuri vizuri vyenye mng'ao mng'ao, na vinavyotamanisha kuliwa. Kuna kipindi nilikuwa kwenye mahusiano, na mlimbwende mmoja na tulidumu kwenye...
9 Reactions
166 Replies
10K Views
" Wanawake wengi hawana hisia... hawasemi tu lakini wako wengi na ukiongea nao wanakwambia wako ndani ya ndoa wana watoto wawili, watatu, wanne lakini ukimuuliza hivi lini umewahi kufika mwisho...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 123, Theresia Nyirakajumba, kutoka Nchini Rwanda, amesema toka azaliwe hajawahi kuguswa na mwanaume yeyote, na sasa yupo na tumaini kuwa atampata mwanaume...
3 Reactions
70 Replies
6K Views
  • Closed
Habarini za asubuhi wapendwa natumai mpo poa. Leo naomba niseme hivi kuna baadhi ya sisi wanaume tumekuwa na tabia ya kujifanya mwanamke yaani ni mshikaji kabisa anakuja PM anajifanya mwanamke...
40 Reactions
575 Replies
21K Views
Miaka yetu tunakua kulikuwa na magonjwa hatarishi sana ya sex. Ilikuwa hatari sana... Na ukumbuke Condoms zilikuwa bidhaa adimu sana hasa vijijini. Na pia ilikuwa ngumu kumuelewesha mtu kuvaa...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika pita pita zangu leo humu MMU leo, nimeona vitu vya kushangaza sana..... kuna wanawake wanasema wanavutiwa na wanaume wenye mishipa mikononi😂, wengine nimeona wanapenda kufokewa😂 na hata...
9 Reactions
52 Replies
2K Views
Moderator please DELETE huu Uzi.
16 Reactions
65 Replies
9K Views
Wakuu nimeanzisha biashara ya Duka rejareja na Saloon ya kiume. Changamoto iliyopo ni kelele za mke wangu. Pindi akijua na ku-access zilipo. Makelele yake yatapeperusha wateja wote. Maana...
24 Reactions
93 Replies
9K Views
Mpaka sasa bado sijakutana nao kabisa yaani maana mnalalamika sana kuwa wanawake wameweka pesa mbele ila siajua mpaka sasa wapo wapi maana nliowahi kuwa nao na nliekuwa nae hadi sasa naona wako...
4 Reactions
7 Replies
823 Views
Kutokana na vijana kukumbwa na kitu kinaitwa illussion Au kuzidanganya hisia unakuta kijana Anatumia pesa kubwa kuhangaikia ngono Ambayo inamletea ufakiri. Style zote za ngono Zipo kumfurahisha...
14 Reactions
115 Replies
8K Views
Hello guys samahani mimi ni kijana miaka 23 nipo chuo mwaka wa pili UDSM, nilikua na mwanamke wangu ambae tumedumu kwa miaka takribani 7 sasa tangu form 2, mwaka jana nilimpatia ujauzito kwa...
8 Reactions
53 Replies
5K Views
Mimi binafsi yangu siwez wasakama wanawake ambao umri umeenda na hawajaolewa naamin kwa fikra na hisia zao hawajapata mwanaume ambaye sio bora tusiwasakame na kuwachukulia kama ni wakosaji wakubwa...
8 Reactions
61 Replies
3K Views
Nashangaa sana kijana au binti anapelekeshwa na mapenzi kama gari bovu, lazima uwe na msimamo. Unapenda sawa lakini usikubali akili zote ukahamishia kwa mtu. Unamtongoza mtu akisema hapana au...
8 Reactions
19 Replies
3K Views
Utapata/ itakuja kadri muda unavyozidi kwenda. Utapata busara kadri muda unavyozidi kwenda. Yote ina maana moja kwamba we usijali, muda upo. Endelea kusubiri mambo yatakua vizuri yenyewe. . Huo...
2 Reactions
3 Replies
854 Views
Kama unavyosoma hapo kwenye title, hiyo ni kauli nliyoambiwa na mke wangu wa ndoa na nimezaa nae watoto kadhaa copyright na mimi. Kimsingi tunaishi mbalimbali muda mrefu sana kutokana na masuala...
15 Reactions
50 Replies
3K Views
Siku hizi kama unatoka safari kuja Dar, basi jitahidi usifike huku Jumamosi usiku, wallahi utalala stand.
7 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari wakuu. Inasikitisha sana mwanume upo serious na unasaka wife material wakuweka ndani ila unaambulia kukimbiwa kijinga kijinga tuu. Nimejitahidi sana kutongoza mabinti wa kila aina ila...
8 Reactions
94 Replies
6K Views
Habarini wadau, Ramadhan Kareem to all Muslim in here...! Wewe ni mwanaume mfupi, Andunje, Nyadundo kama mimi, kwanini una kiherehere cha kuoa Mwanamke mrefu kukuzidi? Mwanamke akikuzidi urefu...
27 Reactions
204 Replies
14K Views
😁😁😁 Salaam jukwaa la MMU, Nimeanza na kucheka maana demu unakutana naye mchana eti hajala, demu wa hivi ungekutana naye asubuhi si angeomba mswaki? Yaani kisa ukali wake anajeuka kuwa yatima...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Hisia za mtoto ni sehemu muhimu ya maendeleo yake ya kijamii, kiakili, na kimwili. Ingawa uwezo wa kueleza hisia unaweza kuwa mdogo katika hatua za awali za maisha ya mtoto, wanapokuWa wanakua...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom