Hii issues kuna binti mmoja kichwa na yupo vizuri sana nilisoma nae katukimbiza sana skonga kipindi hiko cha nyuma mara nyingi tunapigaga sana story kwenye simu.
Msimu wa sikukuu tulikutana tu...
Habari mabibi na mabwana yu heri wa afya natumai hivo,
Kwenye yanga sc na USM Alger( A.K.A KWENYE 1- NA- 2) kulingana na uchumi wangu ulivyo uki compare na gharama za madem wa siku hizi bila pesa...
Mapenz ni starehe Wala siyo ugomvi.....na unapoenda kuonana na mwenzio unajua kabisa waenda kustarehe.....sasa tukubaliane kwenye faragha zetu ni ruksa kushikwa popote Ili mradi tu najisikia...
Kama ulitumia hizi huduma nadhani sasa uko kwenye ndoa au unawatoto
Kwakweli Tigo na Vodacom walisaidia sana mahusiano ya watu mana hata utaratibu wa kujiunga bando haukua sawa.
Tigo unasubiri...
Bro,
Kikao cha hiki kijiwe sio kama kile cha wanaume wa UWABATA, Hachana na wanaume wasiojielewa, hatuna haja ya kuunda 'hashtag' hizo pigo waachie wanawake.!
Hachana na wanaume wasiojielewa, wao...
Wasaalam wadogo kwa wakubwa😀😀
Natumai nyote wazima wa afya. Niende kwenye mada kama mnavyoona huu ni mwezi wa 6 sasa, na mjuavyo baridi imeingia mpaka DSM sasa.
Na kama mnavyojua miili yetu...
Hivi hii hali ni kutaka tu au kujisahau? Yaan kitendo Cha mwanaume kuoa tu basi na kuvaa nguo Kwa kubadilisha kunaishia hapo full shati Moja au matatu, kazini, nyumbani na la kanisani.
Kumkuta...
Ila kusema ukweli wanaumme tunapitia mengi ila dunia sio fair kwetu, wanawake wote walio shindikana nyumbani kwao anae pokea huo mzigo ni mwanaume, na unakuja kugundua tabia mbaya za mwanamke...
Asubuhi mapema saa 1 ulizuka ugomvi mkubwa kati ya mume wa mtu na Malaya wake aliye mkodi kwa huduma ya ngono, ugomvi huu ulihusu malipo ya pesa baada ya huduma kutolewa vyema ipasavyo usiku...
Hivi kwa Nini mkiamka asubuhi huwa mnajifunga kanga moja tu hata underwear hamna mnakwenda dukani/kununua chapati au maandazi??
Hivi ni kwa Nini underwear (nguo za ndani) huwa mnazitundika nje in...
Wakuu habari za Jumapili? Kwangu si njema hata kidogo ila nina Imani Kila mmoja ni buheri wa afya.
Nisiwachoshe sana ngoja niende moja kwa moja kwenye mada husika kuhusu yaliyonikuta japo imekuwa...
Mwaka juzi kuna mwanamke ambaye tulikutana naye kwenye sherehe, Mwanamke huyo aliniomba namba zangu za simu nilimpa. Tukawa tuna chat naye kawaida tu.
Siku moja tu akaniambia ananipenda...
Habari wanajamii, nielekee kwenye hoja husika moja kwa moja.
Nilikuwa na matarajio mengi sana juu yake lakini imekuwa ndivyo sivyo. Nilifikiria sana baada ya kumfungulia thread/Uzi kwakuwa...
No passion to make sex, she is has many excuses
Rafiki yangu huyu ameniomba ushauri wa kindoa nami nikaona hapa JF kuna wake kwa waume wenye uzoefu na maturity yakumsaidia mawazo ushuri, vifungu...
Habari ndugu zangu..
Kwa kweli huyu bidada nilimpenda sana ila siku zote za mahusiano yetu alikuwa akiniambia niige wanaume wenzangu kwa kuwa anaona mimi ni mkoloni na ninaitikadi za kizamani...
Ukiona familia Ina watoto 5 ujue wawili au mmoja hapo mama kachanganya baba,sio wote ni baadhi ya familia.
Kuna mshikaji wangu tunaishi kitaa kimoja, alikuwa ana date na mke wa mtu mpaka akampa...
Mara ya mwisho nilionana nae Arusha way back huko maeneo ya kijenge karibu na kanisa katoliki, tafadhali kama kuna anayemfahamu au kama yupo humu.
Namtafuta sana sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.