"Kipendacho roho hula nyama mbichi"
Kila mtu/ binadamu hufurahia tendo la ndoa anapokua na mtu ampendae.
Binafsi NALIA NGWENA ninapokua na date na msichana(mwanamke) wa hivi moyo wangu hufurahia...
Kwanza nianza kwa kuwalaumu waliogundua mapema hii siri kwa kukaa na hii (nywila) password kwa muda mrefu.
Iko hivi wewe mwanaume ukitaka kupendwa na watoto wazuri, wasafi wenye shape zao, watoto...
Baadhi ya vyanzo vilivyo sababisha kuondoka kwa furaha ya wanaume wengi na kupelekea kushindwa kujiamini kabisa
𝗣𝗨𝗡𝗬𝗘𝗧𝗢;
Mwanaume anapopiga punyeto anaiminya mishipa ambayo inasababisha kusimama...
Kila kukicha utasikia mikasa ya ubakaji na unyanyasaji. Hivi kwanini ufikie hatua ya kubaka? Una ugonjwa wa akili au unatumia bangi? Wanawake wamejaa na wametuzidi hata kwa idadi kwanini usiombe...
Fanya mazungumzo yenu yawe rahisi.
Fanya mnapokuwa pamoja iwe rahisi kwako na kwake.
Fanya ajihisi maisha yake ni rahisi akiwa na wewe. Simaanishi kifedha. Bali kihisia kwa kujiachia na kutokua...
Wakubwa na wadogo ninakuja kwenu kwa unyenyekevu mkuu nikiwaomba ushauri.
Binafsi nikijiangalia umri unakimbia sana kwa umri wangu huu kuna rafiki zangu wana watoto hata wanne ila mimi sina hata...
Za masiku! Hivi kuwa na mahusiano na mke wa jirani yako ni dhambi? Ni dhambi kwa sababu umezini!
Je, kulala na mwanamke asiye mke wa mtu ni dhambi? Kwa nini Yuda hakupigwa kwa mawe ila badala...
Hizi ni baadhi ya kauli za wavulana juu ya single maza "ukioa single Maza ukae tayar kuchapiwa", "single Maza sio WA mtu mmoja",,, "single Maza ana wakwe pande mbili na mawifi pande...
Habari wana jamvi
Nimeona niweke huu uzi asubuhi sababu mida hii ndo wenye nyumba huwategeshea vijana wapangaji wao wanaoonekana kujiweza kdg kiuchumi na kuwaelezea shida zao ili wawasaidie...
Wakuu kwema,
Niende kwenye mada. Aisee leo nimezunguka sana kwenye hizi pharmacy zetu za mtaani lengo tu nipate kununua kinga "zana" kwaajili ya shemeji yenu, lakini mpaka muda huu naandika huu...
Nimeona niilete hii mada, kwa sababu wengi huwa tunahisi ya kuwa maisha ni sasa, bila kukumbuka kuna ya kesho.
Kumekuwa na kawaida ya mahusiano mengi kuvunjika, ingawa kwa asilimia kubwa...
Kutengeneza ama kuamsha hisia za kingono mpk kufikia hatua ya kujiridhisha bila kutumia tupu za jinsia nyingine ndiyo huitwa punyeto (masturbation).
Kwahiyo hata wale wanaotumia dildos ama...
Kuna kauli mbali mbalii unaweza tamkiwa na mpenzi wako ambae unampenda sana na ikakuumiza
JE NI IPI KATI YA KAULI HIZI ILICHANA MOYO WAKO, UTUPE NA KASTORI KIDOGO JU YA KAULI HIYOOO
,,,,,, NENO...
Wakati mwingine maisha yanakosa definition kabisa sijui kama kuna mtu mwingine imewahi kumtokea kama mimi, binafsi kipindi sina mpango wa kuoa nlikuwa na marafiki kadhaa wa kike tukisaidiana...
1- Treat her like an Option
2- Ask for her friend's social Media
3- Ignore her Post and Stories
4- Dont allow yourself to get too invested
5- Always be Willing to walk away from Her
6- If...
Ebwanaa sasa hivi ni saa 10 alfajiri niko zangu Mkoani huku.
Ghafla usingizi ukakata usiku huu, ile kushika simu nakutana na missed call kama zotee za ndugu "Usiku huu wote wanataka nini, au...
Good morning watu wa Mungu.
Basi wakati tukiendelea kuisubiri ndege yetu mpya ya mizigo kutua.nimeona niwaulize haka kaswali.
Juzi kati hapa nimekutana na ex girl wangu,sasa katika story za hapa...
Kuna jirani yangu mmoja hapa alifariki mwaka jana.
Yeye na mkewe wa ndoa wanawatoto 3. Mtaani tulikuwa tunajua wote hawa ni watoto wake wa kuwazaa kabisa. Hata marafiki zake walikuwa wanajua hivyo...
Maamuzi ndio yanachagua tufanye nini, tufanye nini na maisha yetu, au tufanye nini na wapenzi wetu. Ili kufanya maamuzi kwanza inabidi kujiuliza;
~ Ni kitu gani nataka?
~ Kitanifanya nijisikiaje...
Natamani kujua kama hii ni kawaida au mimi ni mtu ajabu. Nakaribia miaka 39 na sina mke wala mtu naetegemea awe mke wangu. Sina mtoto japo ninauwezo wa kuzalisha vizuri sababu nilishawai wapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.