themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 1,065
- 3,845
Mpaka sasa bado sijakutana nao kabisa yaani maana mnalalamika sana kuwa wanawake wameweka pesa mbele ila siajua mpaka sasa wapo wapi maana nliowahi kuwa nao na nliekuwa nae hadi sasa naona wako coool tu
Ishu ni hii kila mwanamke ni kweli anapenda pesa ila kila mwanamke ana mwanaume wake anaempenda na kumuomba pesa kisaraharabu na anaridhika, na mwanamke sehemu anayopenda hata kuomba pesa huwa anaona aibu atajiharibia ila atafanya tu vitendo mara naenda saloni anakutega tu wewe mwenyewe utajikuta unafungua pochi bila malalamiko
ila skuzi tukubali tu wanaume tumezidisha umalaya kila mwanamke ukimuona kazi kutongoza na wanawake sehem ambayo hawajapenda ukitongoza leo kesho umeshageuzwa Baba mzazi, utapigwa makombora hadi ukimbie
Ila sehemu yenye penzi la kweli utajikuta unatoa pesa pasipo kulazimishwa, hakuna mwanamke asiependa kupewa pesa ila kuna sehem wanawake wakipenda wanakuwa na ustaharabu na mwanaume utajikuta unahudumia pasipo makelele
Ishu ni moja tu ukiona huna pesa tulia na mwanamke mmoja tena aliekupenda kweli umuhudumie kulingana na mfuko wako maana mwanamke akikupenda ataridhika na hali yako, ila haya mambo ya kuwa na kipato cha laki2 kwa mwezi unapapatikia wanawake aloo mtafilisika, mnatakiwa mjue mwanamke akifikisha miaka 18 hawezi tena kumuomba pedi baba yake so tulieni na wanawake mlio na uwezo wa kuwahudumia