Wanawake warefu weupe

Wanawake warefu weupe

Double N

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2018
Posts
311
Reaction score
607
Assalamu alaikum wa rahmatullahi wa barakatuh. Wanawake warefu weupe kwa huku ni nilipo ni adimu sana.

Unaweza kumkuta mrefu ila mweusi, mweupe ila mfupi ama lah ni mweupe na anaonekana mrefu kumbe sio mrefu ni mwembaba tu ila ni mfupi.

Ni mkoa gani (ukiondoa uchagani) wanapatikana viumbe wa hivi bila kutafuta kwa tochi yani wapo kama wamemwagwa vile?

Sipendelei mwanangu awe mfupi aisee, ufupi sio ishu kabisa. Mbaya zaidi uwe mfupi na huna mwili unakua kama katoto kenye ndevu, mfupi na kibonge unakua kama kipipa. Afadhali basi uwe na mwili wa wastani.

Enyi wanawake warefu weupe njooni tuanzishe maisha. Kama upo Dar itapendaza maana nakuja huko soon..
 
Wewe unaonekana ni mfupi na una inferiority complexity kwenye mfumo wako wa fahamu, kuanzia utosini hadi unyayoni.

Aliyekwambia Mwanamke kuwa mrefu ndio kigezo cha mtoto kuwa mrefu ni nani?!

Urefu ni outcome ya lishe nzuri labda kama baba na mama ni dwarfs yaani wale mbilikimo.

Ila kama ni binadamu wa kawaida asiye na aina yoyote ya Dosari then tegemea kuwa ni swala la lishe tu watoto watakua vizuri sana. Urefu unakuwa stimulated na hormones za ukuaji yaani HGH. Sasa wewe labda kama unataka kuunganisha koo na akina Masawe ila unaweza hata kuoa mlugulu na mtoto akaja kuwa tolu hautaamini.
 
Kweli binadamu tunatofautiana, mimi hawa wadada wafupi wenye miili midogo midogo ndio they turn me on. Hawa warefu sinaga mzuka nao.
 
Nenda Manyara, utawakimbiaa, alafu wenyewe walivyo kukupa mbususu ni suala la karibisha mgeni .

Yeye ukimtongoza Asubuh , mkakubaliana saa nane, ikitokea mpaka saa nane hujamtafuta , yeye ndo anakuoigia simu kukukumbusha "Oya vipi ? Time ndo hii".

Sema nn, Wanawake weeupe na Wanawake wenye Makalio makubwa, Wengi wao KICHWANI NI WEUPE WA AKILI, TABIA!!...... unahitajika kua na Moyo wa chuma sana, Kudumu na viumbe hao wawili.
 
Kweli binadamu tunatofautiana, mimi hawa wadada wafupi wenye miili midogo midogo ndio they turn me on. Hawa warefu sinaga mzuka nao.
Anipitie mwanamke awe na Shep yaan awe na unene ivi, tumbo nyamanyama, matakoo makubwa na mahips , awe mrefu au mfupi , awe mweusi au mweupe ,ila kikubwa awe na tumbo nyamanyama, matakoo makubwa na mahips .

Wakuuu Juzi nmekuka Kimasihara, Jana Sabato nmeteleza nmekuka Kimasihara ingine, muda Huu natoka kupiga Kimasihara ya bao Moja.

Katika hao wote wa tatu, huyu nlompiga sahizi, aiseeeeee ana papuchiíi mnatooooo, tope so yopeeee, joto Si jotoooooooo , utelezi Si uteleziiiiiiii !!!.

By the way, wote ni Walikua wanakuja kusalimia Ndugu zao walolazwa hapa Hosp kwetu .

Kila mtu anakula sawa na urefu wa kamba, hili mama alishasema , mtu asiniletee pua yake hapa🤣🤣
 
Wewe unaonekana ni mfupi na una inferiority complexity kwenye mfumo wako wa fahamu, kuanzia utosini hadi unyayoni.

Aliyekwambia Mwanamke kuwa mrefu ndio kigezo cha mtoto kuwa mrefu ni nani?!

Urefu ni outcome ya lishe nzuri labda kama baba na mama ni dwarfs yaani wale mbilikimo.

Ila kama ni binadamu wa kawaida asiye na aina yoyote ya Dosari then tegemea kuwa ni swala la lishe tu watoto watakua vizuri sana. Urefu unakuwa stimulated na hormones za ukuaji yaani HGH. Sasa wewe labda kama unataka kuunganisha koo na akina Masawe ila unaweza hata kuoa mlugulu na mtoto akaja kuwa tolu hautaamini.
Hii Mpya...
Mpya mjini!!
 
Hapo kwenye ufupi sio ishu tupo pamoja

Ukiwa mfupi hata uwezekano wa kuheshimika ni mdogo [emoji23]
Unaweza kuheshimika bila shida unachotakiwa ni kuwa mkali bila sababu. Yaani muda wote wewe umekunja ndita na unaongea kwa ukali kila mtu atakuheshimu.
 
Halafu useme k_vant ni nzuri ..kwa staili hii...huyu anaonekana ni wale wanafunzi wanaosumbua wenzao darasani
Huna adabu tu. Me ni mkubwa kwako na nimeona mengi sana halafu uaniletea ligi. Dogo, ntakupa makonzi.
 
Back
Top Bottom