Sikukuu na mahusiano

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,421
40,411
Nipo hapa kwa mchepuko wangu, ameniomba angalau nije nile pilau la sikukuu hapa nyumbani kwake.

Baada ya kufika hapa kwake, amenipokea kwa bashasha sana; baada ya kufika mlangoni tu, akanikumbatia na kunibusu, huku akiniambia maneno matamu, ''nimekumiss sana mume wangu''.

Akaanza kunivua shati, na kunisogeza kwenye sofa, amenivua viatu na suruali, na kunipa taulo nijifunge; hapa nipo na vesti na taulo tu, huku akinihudumia 'wine'.

Nikimtizama na nguo alizovaa, za kunitega tega; namshukuru muumba kwa kuniumba mwanaume; kweli maisha ni matamu; hayahitaji kuwa siriazi sana ili uweze kuyafaidi, muhimu ni mipango tu.

Nyie mnaokula sikukuu wenyewe bila wapenzi, poleni. Ata kama anakuzingua, nenda ata hapo jirani uwafanyie 'surprise'.

Maisha ni sasa na si kesho; siku ya leo tarehe 29/06/2023 haijirudiii kamwe, imeisha hiyo.​
 
Upo kwa mchepuko na unaleta uzi kwa bashasha? Ukipoteza ubingwa usisahau kuja kwa bashasha tena
 
1686170057984.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom