Good Vision
Member
- Apr 29, 2023
- 35
- 65
Nina jirani yangu ana mke wake wana mtoto mmoja wa kiume miaka 2 hivi. Jamaa mkimya sana na mke wake ana ukimya wa kuigiza akiwa na watu wengine lakini akiwa na jamaa hasa hapo nyumbani huongea sana na kumfanyia visa mshikaji, sometimes unasikia jamaa analalamika kwa nini mkewe hajapika na pesa kaacha,anamkamata na sms za kutongozwa anasamehe, jamaa hana mengi kwa muonekano lakini anaonekana jasiri sana.
Sasa juzi kati hapa tulisikia purukushani asubuhi kumbe jamaa aliamua kumshushia mkewe kipigo, kwa taarifa alimpiga teke la uso mke akazimia then akatupa macho juu kama mtu anaepigania roho, jamaa akaanza kumpa first aid mwenyewe demu wake akaamka, jioni saa kumi hivi kaja kukamatwa na migambo kalala sero siku tatu siku ya nne mke kaja na shemeji yake (mme wa dada yake aliepigwa) mke akawambia police sitaki kesi na mme wangu naomba mfute, wakakataa wakasema nendeni mahakamani kufika mahakamani mke kasema hivo hivo kisha akaongeza kwa kusema ambacho hataki ni kukaa na jamaa tena! So jamaa kakubali kumwachia chumba sasa hivi hana pa kulala anadoea kwa washikaji huku akijipanga.
Kwa maelezo ya jamaa anasema tangu amuoe mke wake amekuwa ni janga la ndani amevumilia sana na hata siku anampiga hakujuwa imetokea vipi anajutia sana. Kisa cha kumpiga mke kasema jamaa alimuomba pesa alizompa jana yake (siku moja kabla) kwa hiyo mwanamke hakutaka kumpa kwa sababu hakujuwa hizo pesa anapeleka wapi? Na jamaa anasemamke wake amekuwa na dharau halafu hana mapenzi ya dhati na ni yule mtu wa pesa mbele licha ya jamaa kunitahidi kutoa huduma.
Binafsi (mimi mwandishi) nimeona mengi sana nataka nisemee upande mmoja wa wanaume wanao nyanyaswa na wake zao,kiukweli wananikatisha tamaa ya kuja kuoa.
Inauma sana, jamani ebu kama mtu humpendi bora ukaachana nae sio kumfanyia visa anakupiga mwishowe akuuwe akaozee jela sometimes hasira hazipigi hodi.