Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Habari za jion Wana JF .... Mm ni kijana umri 30+ -Urefu 5.4 nch -Colour -mweupe kiasi -islamic -Nna watoto wa3 kila mmoja na mama yake, -Ila nnaishi watoto wangu. -Kaz yangu ni Mishen town tu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jina: Patric Umri: 30 Kazi: Mwajiriwa Dini: Mkristo Elimu: Degree Simu: Baadaye Lengo: Natafuta mke wa kuoa Sifa za mke ni mtakaye. Umri: 26-35 Dini: Yeyote Kabila: Lolote Kwa mawasiliano zaidi...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Rejea kichwa cha Habari hapo Naitwa Frank , huu ni mwaka wangu wa 25 , Nimesoma , Nimeajiriwa Serikalini (Tanzania Defence Force) , Ni mwanaume anayejitambua na muelewa sana, Naweza kummudu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama Kichwa cha nyuzi kinavyosema.Natafuta Mpenzi ili baadaye awe kuja kuwa mke. Sifa zangu; Jinsia Me Umri 30 Kazi Muajiriwa Kimo Sio mrefu wala mfupi Elimu yangu. Shahada ya kwanza...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Waungwana habari zenu!nisipende kupoteza muda sana,mimi ninaumri wa miaka 33,mkristo,muajiriwa,natafuta mwanamke ambaye yupo tayari kuolewa kama tabia zake zitaridhisha Sifa 1)Awe mkristo wa...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Wajumbe husikeni na kichwa cha habari hapo; Mwaka jana mwezi wa saba nikiwa katika harakati za kumvisha pete mchumba wangu tuliedumu kwa muda wa miaka miwili, niligundua hakuwa mwaminifu hata...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari wana JF, Mimi ni kijana wa kiume, Miaka 30. Graduate, nimeajiriwa serikalini. Naishi DSM. Dini yangu ni Muislam, mimi ni mstaarabu na nina hofu ya Mungu. Sijawahi kuoa wala sina mtoto...
8 Reactions
69 Replies
8K Views
Nashughulika na biashara ya kuendesha BODABODA aina ya SUNLG, Na nina elimu ya FORM TWO, na nilifaulu masomo yote isipokuwa Kemia tu, ila sikuendelea na form three kutokana na mvurugiko wa...
4 Reactions
47 Replies
6K Views
Za mda huu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Hivyo RAFIKI wa kuchat naye na kubadilisha mawazo pale nafasi inapoatikana, Ni vizuri asiwe mtu wa mambo mengi na atoe ushirikiano mzuri...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hellow, Naitwa Nasibu Nina umri wamiaka 26, elimu Bachelor,nahitaji mwanamke wa kuoa lakn vigezo vfuatavyo vizingatiwe 1.Mwislam 2.umri 23-32 3.awe tayr kwa sasa NB:alyoko tayari aje inbox 0747631486
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwanza wakuu poleni na majukumu ya kutwa mzima.nijielekeze mojakwamoja katika hoja yangu hawa jamaa wajenzi wa reli yetu ya mwendo kasi ,sielewi kwani kampuni nyingi za ujenzi zinakuja tunazioma...
0 Reactions
7 Replies
927 Views
Hello Mimi ni single mom [emoji2963] wa mtoto mmoja, nimeachana na mzazi mwenzangu na sijui hata yupo wapi kwa sasa. Natafuta mume miaka 35-50, [emoji117]- awe tayari kumpenda mwanangu kama wake...
8 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari zenu wanabodi Mimi nikjana wa umri wa 33 ninatafuta mwanamke around 26-30 wakuanza nae maisha Mi naishi Moro na awe tayari kija kuishi na mimi Awe mpole kiasi, Mchamungu, Mkweli , Mwaminifu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Awe na umri kuanzia miaka 24 hadi 30 Dini awe mkristo Elimu yake kuanzia form four na kuendelea Rangi yoyote sibagui Awe anajihusisha na shughuli yoyote halali Sifa zangu Mimi Miaka 30 Elimu...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu Mimi nikijana nilie ajiliwa katika idala moja wapo seriialini Nina umliwa miaka 34 nahitaji nimpate mpenzi ambaye ana lengo la kujenga maisha umli...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Natafuta mwanamke ambaye atakuwa mke wangu Sifa ●Mcha Mungu na mpenda maendeleo ●Umri miaka 18-30 ●Mrembo mweupe au mweusi mwenye shape atapewa kipaumbele ●Awe na shughuli halali inayomwingizia...
1 Reactions
54 Replies
3K Views
Habari wana jukwaa kichwa cha habari chahusika. Sifa za ninayemuhitaji *umri:miaka 18-29 *Dini:Muislamu *Elimu: kiwango chochote Sifa zangu *Umri:miaka 30 *Dini: Muislamu *Elimu: degree na...
0 Reactions
2 Replies
790 Views
Habari zenu wana jamii forum Mwenzenu natafuta mume, mtaani wapo wanaokuja lakini bado sijapata tunayeendana kitabia. Nimeona nijaribu na huku Sifa zake 1.Mume Mkristo aliyeokoka 2.Mchapakazi...
7 Reactions
48 Replies
8K Views
Kama heading inavyoeleza hapo juu Sifa zangu Kijana wa kiume 27yrs Nina mwili kiasi Mrefu Nimeajiriwa Christian Muaminifu Upendo wa kweli Sifa za ninaye muhitaji Msichana Umri 20-26yrs Awe...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari ya muda huu wadau. Mimi ni kijana mwenye miaka 27. Ni mzaliwa wa mkoa wa iringa lakini kwa sasa Nipo mkoani morogoro wilaya ya kilombero mji wa Ifakara. Nina shahada na nimeajiliwa hapa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom