Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Jaman wa mjin tupen connection bas yaliomo yamo kilicho akilini kitumie
1 Reactions
5 Replies
966 Views
Habari zenu Wana JF. Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es salaam kwa ndugu zangu. Ni mhitimu wa chuo ila bado sijafanikiwa kupata ajira. Natafuta mwanaume mwaminifu na mwenye upendo wa kweli...
12 Reactions
60 Replies
8K Views
I'm a good boy, natafuta marafiki wa kike wa kubadilishana mawazo ninapochoka na mishe zangu. Napenda sana kufurahii na kubadilishana mawazo
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Hi Jamii forum family,Ts my second time here. I'm 30 years of age Tanzanian with hiv+ on medication , I'm looking for a gud man ,he just have to be smart with a very gud sense of humour ,age...
9 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu Niko hapa kutafuta marafik ambao tuna endana kwa vitu tunavyo penda na sio kama Sina marafik ila nahitaji marafik wapya.binafsi Mimi ni kijana Nina 28 age. Job: nimeajiliwa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
I am female aged 29, I am looking for a man who is serious to get married this year. Guys help me find the best man in the world, awe na miaka 30 nakuendelea. Mwenye kazi yake na mwenye kujitambua
10 Reactions
126 Replies
12K Views
Vigezo Sifa zangu, ,mbahili (sina matumizi yasiyo ya maana nahudumia mambo ya msingi tu).kwahiyo ukija na staili za kudanga kwang itakula kwako,,nina tamaa sana ya kutoka kimaisha hivyo nafanya...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, natumai mu wazima Nakuja na mtazamo wangu kwa hili kundi la kina dada kujitangaza kutafuta waume. Kiukweli wengi wao umri kidogo umesogea lakini bado hawajakua wala kujifunza...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wana JF, Nikiwa na nia thabiti, ninatangaza kutafuta mume. Mimi ni mwanamke mwenye Umri wa miaka 31. Upande wangu, Nina mtoto mmoja>5 yrs Elimu yangu Diploma Ni mwajiriwa Ninahitaji mtu...
6 Reactions
52 Replies
7K Views
Mimi ni kijana wa miaka 27 nilizaliwa na kukulia ktk mkoa wa Kilimanjaro,kwa sasa ninaishi Dar es salaam namshukuru Mungu alinifanikisha kupata kazi serikalini,kwasasa ninatamani sana kua na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu. nmekuja kwenye jukwa hili nikiwa na uhitaji na mwanaume ambaye baada ya kukubaliana tunaweza kwa pamoja leta kiumbe kipya duniani. wasifu wangu; mimi ni mkristo,mwanamke wa kawaida ...
7 Reactions
67 Replies
7K Views
Habari wadau Natafuta company ya mkaka ambayo kama tukielewana italeta mahusiano ya kudumu. Mimi ni: Mwanamke umri 33-35 Mkristo Elimu ya chuo Mfanyakazi Mcha Mungu focused loving and caring...
7 Reactions
96 Replies
8K Views
Mimi ni kijana wa Kitanzania nina umri wa miaka 31, ninaishi Dar. Mimi ni mfanyabiashara.Ninatafuta mwanamke aliyeajiriwa au mfanyabiashara kama mm. Sibagui umri,dini wala kabila . Kwa aliye...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mpole mcha Mungu, -ninaishi Arusha, -nina miaka 35, -ninafanya kazi na kampuni ya utalii....ninatafuta mke/mchumba awe na -miaka 21-30, -awe mweupeee, -asiwe mnene.... ntakuhudumia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi, Wasalam. Kama kichwa cha habar kinavyojieleza, Mimi ni Kijana wa kiume, Nahitaji Mwenza ambae Mungu akijalia aje kua mke wangu Vigezo 1. Umri miaka 18 mpaka 28 2. Elimu Kuanzia...
0 Reactions
1 Replies
992 Views
Mimi ni >Nina miaka 27 >Mrefu kiasi 5‘6” (futi 5 na inchi 6) >Elimu kidato cha sita >Sina mtoto >Ni fundi muashi/uwashi >Mlongo wa kisiasa ni muafidhina >Dini ni muislam Mwanamke ninaemuhitaji...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nashukuru wadau, kwa sasa zoezi limesitishwa. First come First Served Asanteni sana. Muhusika anadeal na dada aliyejitokeza kwa sasa. Naomba niwe dalali/kuwadi leo. A good friend of...
0 Reactions
6 Replies
800 Views
Jamani naitaji Rafiki awe na chura mwenye Tabasamu,miaka kuanzia 25_30 Kama upotayari njoo tuanze Safari ya ndoa
0 Reactions
10 Replies
2K Views
1. My name: Amiry Muzamelly. 2. Age:23. 3. Language: English,Arabic,Swahili. 4. Religion: Islam. 5. My color:Grainy black with gravity. 6. Work: Religious seeker. 7. Height:Tall Normal. 8. Child...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nikiwa kama kijana mwenye umri wa miaka 35 mwenye kipato kizuri na kazi nzuri nahitaji mwanamke ambae yuko tayari tupate mtoto awe mweupe na umri mwisho miaka38 na mkazi wa dar pia awe na uwezo wa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom