Mimi ni mwanaume nipo Kilimanjaro, nimejiajiri natafuta marafiki wa kike tu wawe wajasiria mali. Lengo ni kubadilishana mawazo kwani mimi naamini kua nahitaji sana ushauri kutoka kwa wanawake...
Habari za uzima wakuu? Natafuta binti mwenye sifa zifuatazo:
Umri chini ya miaka 30,
Awe na utu,uvumilivu na upendo.
Elimu kuanzia kidato cha nne.
Awe tayari kuishi dsm.
Kimo kuanzia futi 4ft 9'...
Habari zenu! mimi ni binti wa miaka 24 ninaishi dar es salaam. Natafuta mwanaume au mume mwenye uvumilivu awe na upendo kwangu pamoja na ndugu zangu pia nitampenda awe amejiajiri au kuajiriwa sio...
Kama nilivyojieleza, wasichana mlioko mikoa hiyo tajwa hapo mpate bahati gani tena ingine!? mtapata kukutana na mimi Live
Masharti Kuzingatiwa
- Ni Inbox
- Uwe smart na charismatic
- Kichwani...
Habari zenu
Kama heading inavyoeleza hapo juu Mimi ni mwanamke mwenye umri Wa miaka 30 nahitaji mume aliyekua serious kuhusu kuingia kwenye ndoa not jokes
Dini yangu ni Muslim, elimu yangu ni...
Habari wana Jamii Forum.
Nipo kwenye kipindi muafaka kabisa cha kupata mwenza wangu wa maisha. Swala la kumpata mtu sahii wa kuoa/kuolewa ni changamoto hasa zama hizi. Kutokana na kukua kwa...
Haijalishi tumekutana mtandaoni amini tunaweza kuwa mke na mume endapo tutakubaliana, kupendana, na kuendana
Most of peoples tunakosa Muda mzuri na sehemu nzuri ya kukutana na wenza ambao ni...
Habari wapendwa? Kama kichwa cha habari kinavyo sema mume anapatikana hapa kama ulikuwa unahitaji mume basi hapa umepata.
Umri wangu ni miaka 25 Kiukweli nimekuwa nikitafuta mke mwanye vigezo...
Hello everyone.
My name is Grace am 26 years old working as a secondary school teacher.
I am looking for a man to chat with coz I feel so lonely after my boyfriend left to another country and he...
Habari,
Kama kichwa cha bandiko kinavyojieleza hapo juu,mm ni mwanaume mwenye familia ya mke na watoto wawili,umri wangu 40yrs.
Msaidizi anayehitajika ni mwanamke umri kati 25-35 hata akiwa na...
Assalamu’alaikum warahmatullahi wabarakatuh
Ewe dada ndugu yangu fursa hii
Ni wakati murua sasa kwa mimi kijana wa kiume kuingia kwenye ibada ya kukamilisha ½ ya dini yetu ya kiislam.
Dada...
Sifa.
awe mrefu wa wastani.
rangi yoyote.
umri awe chini ya 30yrs.
asiwe mwembamba sana, awe na mwili wa kawaida tuu.
awe dar mana ndipo nilipo.
sifa zangu.
urefu wa 178cm.
rangi maji ya kunde...
Am aged 32, hard working.. gentle and a loving man. I need a decent lady to hook up with and share life experiences and so forth. If you are the one.. lets roll... (Naongea kiswahili pia...:D:D:D)...
Narudia upya kwa uelewa zaidi..natafuta mme aliyetayari kupendwa kwa dhati ambaye muaminifu na yupo tayari kwa mapenzi ya kweli .Nina umri wa miaka 26..0682942959
Salaam wanajamii,
Nabisha hodi hapa jukwaani baada ya kua guest reader wa mda mrefu wa jf na kufuatia safari yangu ya kumsaka malkia wa nafsi yangu naona ni muhimu kumsaka popote alipo. Sio...
Habarini wana JF?
Hatimaye nimenyoosha mikono, upweke unanikondesha hivyo nimeamua kufunguka.
Nahitaji kampani ya kike, sina ubaguzi sana ila yafuatayo yazingatiwe:
1. Uwe mchangamfu. Yaani uwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.