Nisaidieni kupata girlfriend

Tumbo Chura

Senior Member
Jul 14, 2020
173
500
Inategemea na unataka wa aina gani,Tulienda kikazi mkoa Fulani rafiki zangu mmoja alikua anaenda hospitali ingawa haumwi yaani anenda tu kucheki afya huku kwenye foleni akiwapisha wazee na wajawazito ili asitoke haraka kumbe yuko kwenye mawindo mwisho aliopoa nesi.
Wa pili alikua anakomaa kituo cha polisi,yaani kila mara amepoteza leseni anataka loss report,kidogo tu ameibiwa laptop na vitambulisho,nae yuko na shem askari ingawa hana cheo.
Kwa hiyo na wewe komaa hata na wanaowahudumia chakula au nao wanaume?,basi muda wa kurudi angalia makondakta wa daladala wengi mademu siku hizi.
Ila na wewe mkuu umezidi hata watoto wa mwenye nyumba au wapangaji wenzio???
Tusihangaike kumbe domo zege?
 

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
158,557
2,000
Piga kazi kwanza ....heshima pesa ikifika Dec chukua likizo jiachae mitaani huku ukila bata kwa raha zako..wallahi nakuapia humalizi wiki ulimbo utanasa
 

Algedo

Senior Member
Jul 24, 2020
103
250
Habari za humu ndani wakuu, mimi ni kijana wa kiume umri wangu ni miaka 25, nimepanga hapa Dar na nina jitegemea. Hebu ni saidieni sehemu nzuri ya kupata girlfriend maana naona kama tokea nipange now ni mwezi wa nane sijapata demu mzuri ninayemtaka.

Wengi hupata magirlfriend sehemu za kazi but kwangu sehemu yangu ya kazi hamna mabinti, wengine pia wanawapata kitaa too bad for me maana natoka saa 11 asubuhi narudi saa mbili usiku na nimechoka nakosa hadi muda wa kuzurura kuangalia hata kama ninaweza kupata girlfriend.

Hebu wakuu nisaidieni kwa hapa Dar sehemu ipi ninaweza kupata girlfriend awe mzuri kwa haraka nimechoka kuwa mpweke. Note nataka girlfriend mwenye heshima zake nasio wale wanaojiuza
😂😂😂. Broo kuwa serious bhawa🤣🤣🤣🤣. Ckuizi hawa wadada wanakuja wenyewe but cha msingi mfuko usomekee. Tafuta pesaa kwanzaa then utapata utakacho cha msingi ni pesa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom