Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Naitwa mercy natafuta mwenza wa kufanya nae maisha sifa zangu ni: Umri 33yrs Dini Mkristo Elimu Degree Kazi Mwajiriwa serikalini Sina mtoto na wala sijawahi kuolewa koz nilikuwa nasoma na...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Nilitangaza kutafta mke ila vigezo tajwa Wengi hawakuvitimiza kwa ufasaha 1.Mwanamke mkristo 2.Mwanamke siyo mwembamba ila awe na umbo mashalah (wamejitokeza wenye unene wa tumbo) 3.Elimu...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari zenu. Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es salaam kwa ndugu zangu. Ni mhitimu wa chuo ngazi ya stashahada ila bado sijafanikiwa kupata ajira. Natafuta mwanaume mwaminifu na mwenye...
15 Reactions
54 Replies
55K Views
Habarini wa JF? Natumaini hamjambo. Najitokeza kwenu leo katika jukwaa hili nikiwa na uhitaji wa mwanamke atakae kuwa tayari kuingia nae kwenye ndoa.Nina umri wa miaka 27 kwa sasa na mtoto mmoja...
2 Reactions
5 Replies
850 Views
Natafuta mwanamke mwenye kujielewa ili tuwe wapenzi:- 1) umri kati ya 25 mpaka 45 2)ambaye yupo tayari kucheki afya(yani tukapime wote) 3)mwenye kujishughulisha na chochote 4)muwazi Naomba ni pm...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Natafuta mchumba ambaye baadae atakuwa mke wang mtarajiwa miaka 28-32 na awe anaish Dar au pwan(kibaha) kwa aliye seriously ani pm
1 Reactions
6 Replies
994 Views
Habari wana jukwaa. Tayari nina wake watatu (03), wote ni wake wema na wana sifa za msingi kuwa wake bora. Sasa natafuta mke wa nne (04). Huyu namuoa kama sehemu ya kusaidia watu wenye uhitaji...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
NAMAANISHA KABISA. Hello, natafuta mume miaka 40-65. Awe anayeweza majukumu ya kutunza na kuhudumia mke, familia. Nicheki WhatsApp 0656-876 084. Ukiwa huna umri niliotaja usinitafute..watoto...
5 Reactions
47 Replies
5K Views
Umri:26 Elimu:stashahada Makazi:dar Kazi: mtumishi wa serikali Bado sijajenga nipo kwenye mchakato wa kurekebisha maendeleo. Mwanamke ninayemhitaji: Umri: 21-24 Elimu kuanzia form IV kuendelea...
0 Reactions
2 Replies
759 Views
Mimi WL na si mtu mwingine. Nahitaji Mwanaume Hanithi. Asiwe shoga wala asiwe amewahi kujihusisha na ushoga. Awe anayejiamini na anaweza kutatua changamoto za kimaisha. Awe na malengo ya kuoa...
4 Reactions
131 Replies
28K Views
Naimani wote ni wazima namshukuru Mungu pia nami ni mzima,nimekuja mbele yenu tena maana mtafutaji hachoki na hakichoka ujuwe kapata. Nahitaji mwanamke ambaye atakuwa Mke wangu: SIFA ZANGU...
1 Reactions
3 Replies
965 Views
Sifa zangu Miaka yangu 33 Kaz biashara ndogo ndogo Kabila sukuma /nyamwezi Makaz dsm Dini roman mkristo Mrefu mweusi mawasiliano yangu ni 0763932278 Vigezo vya mke Asiwe na mtoto Umr uwe...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Natafuta msichana wa kuoa na kuanzisha familia naye umri wangu miaka29 Dini ni mkristo Kazi nimejiajiri sifa za msichaa nimtakaye umri kuanzia 19-26 dini lolote, awe na hofu ya mungu tu...
0 Reactions
1 Replies
819 Views
Nahitaji mwanaume alie serious kuanzisha mahusiano na badae kuwa mume na mke. Sifa zangu -umri 32 -Mkristo -Sina mtoto -Nimeajiriwa Government -Elimu Postgraduate Sifa za mwanaume awe na -Umri...
7 Reactions
52 Replies
6K Views
Habari
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Dear Colleagues, I am looking for any 'matured Woman' who is single and interested to get a man for A SERIOUS RELATIONSHIP. CONDITIONS : 1. Should be single without a kid , or Single mother. 2...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wanajamvi.Nahitaji kuoa sasa. Nina miaka 29. Dini mkristo Kazi nimejiajiri. Nahitaji msichana atakayekuwa mke wangu Umri asizidi miaka 27 . Dini awe mkristo Akiwa mweupe ama maji ya kunde...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Naimani wote ni wazima namshukuru Mungu pia nami ni mzima,nimekuja mbele yenu tena maana mtafutaji hachoki na hakichoka ujuwe kapata. Nahitaji mwanamke ambaye atakuwa Mke wangu: SIFA ZANGU...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Naitwa Jeremiah nna miaka 31 naishi kibaha pwan natafuta mwenza/mchumba wa maisha na awe seriuosly umri kuanzia 28-32! Aliyeseriuos tuwasiliane+255620257229.
4 Reactions
46 Replies
4K Views
Natafuta mke wa kula naye uzee mwenye sifa hizi: Awe na umri miaka35-47, Awe mkiristo, Ambaye hazai Awe tayari kunilea Wasifu wangu: Nina miaka 64 Nina watoto 6 wa mwisho ana miaka5 Mimi ni...
4 Reactions
52 Replies
5K Views
Back
Top Bottom