Natafuta mwanamke wa kuingia naye kwenye ndoa

Sam Drive

Member
Dec 27, 2020
22
32
Habarini wa JF? Natumaini hamjambo.

Najitokeza kwenu leo katika jukwaa hili nikiwa na uhitaji wa mwanamke atakae kuwa tayari kuingia nae kwenye ndoa.Nina umri wa miaka 27 kwa sasa na mtoto mmoja. Sijaoa bado. Naendelea na harakati za kupambana na maisha. Maisha yangu ni ya chini kabisa bado kwa maana hiyo sitegemei anae demand ukwasi ila kwa kipato changu kidogo tunaweza kusonga.
Sifa za mke:
1. Umri kuanzia miaka 20-30.
2. Ajue kusoma na kuandika
3. Awe tayari kujishughulisha(kwa biashara ndogo ndogo) kama Hana ajira.
4. Asiwe anatumia pombe au sigara
5. Awe mnyenyekevu(Sina tabia ya kumudu sauti ya ukali ya mwanamke) . Asiwe mtu wa dini sana(kusali kanisani Hadi usiku=hapana). Maombi ni mhimu. Kama ana mtoto, asijali tutamlea pamoja na awe na utayari wa kumlea mwanangu pia.

Mawasiliano zaidi ni PM au namba ya simu 0710995752
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom