Nataka mwanamke mtu mzima tuwe marafiki wa karibu sana

DMTK

Member
Apr 26, 2019
74
69
Natafuta mwanamke mwenye kujielewa ili tuwe wapenzi:-
1) umri kati ya 25 mpaka 45
2)ambaye yupo tayari kucheki afya(yani tukapime wote)
3)mwenye kujishughulisha na chochote
4)muwazi

Naomba ni pm weka namba tuwasiliane.mi nipo dar es salaam,nina miaka 27
 
Wanawake hawapendi command mkuu badili kichwa cha uzi hapo juu uwakamate kama kware.
Wanawake hawa wakiafrika bila command ataambulia manyoya,hayo mambo yakubembeleza sio utaratibu wakiafrika toka malezi yao wamekuwa wakiona Jamii yetu wanawake wanacommandiwa sasa jifanye mzungu atakuingiza kidole jichoni.
 
Natafuta mwanamke mwenye kujielewa ili tuwe wapenzi:-
1) umri kati ya 25 mpaka 45
2)ambaye yupo tayari kucheki afya(yani tukapime wote)
3)mwenye kujishughulisha na chochote
4)muwazi

Naomba ni pm weka namba tuwasiliane.mi nipo dar es salaam,nina miaka 27
Dogo unafanya shughuli gani kwanza? Au unataka uwe unasafisha gari la huyo mwanamke arudipo kazini/kwenye biashara zake?

Kila la heri. Naamini utaopoa chombo kikali! Chenye umbo namba 8, gari kali ya kutembelea!! Jumba kubwa la ghorofa na lenye swimming pool!! Misosi ya kutosha mezani!!😋
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom