Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Sifa zake: 1. Mrefu awe zaidi ya futi 5 2. Muajiliwa wa serikalini 3. Dini yoyote awe mcha Mungu 4. Umri 27 adi 35 5. Asiwe na mtoto 6. Kabila na rangi yoyote/aliye jichubua rangi hapana 7. Awe...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Naimani wote ni wazima namshukuru Mungu pia nami ni mzima,nimekuja mbele yenu tena maana mtafutaji hachoki na hakichoka ujuwe kapata. Nahitaji mwanamke ambaye atakuwa Mke wangu: SIFA...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu naitwa esarisa nipo dar nina miaka 30.natafuta marafiki umri 30-39 nicheck tafadhalii
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Guys habari zenu,natamani single parents tukutane hapa tuzungumze na tujengane na wengine waunge undugu waunganishe familia,single+single waweza get1 pair[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]...
12 Reactions
371 Replies
30K Views
Wakuu habari za kushinda, poleni na majukumu. Leo nataka niwakumbushe wanao tafuta Mke au Mume humu ndani. Wakisha pata basi kwenye nyuzi zao waseme kama washapata. Siyo mtu amepata anae mtafta...
3 Reactions
6 Replies
992 Views
Natafuta mwanamke aliye na utayari wa ndoa,uwe Dar, uwe na akili timamu, age 21-30, uwe na ajira..sitaki tegemezi & uwe vzur kiuchumi..sichagui dini au kabila Mimi nna 31. .mchapa kaz na mpenda...
0 Reactions
4 Replies
567 Views
Habari, poleni kwa mihangaiko ya hapa na pale. Wengi wenu natumai mu wazima wa afya. Naomba niende kwenye maada. Nipo hapa kutafuta mwanamke ambae nitazaa nae mtoto/watoto bila ya kuwa kwenye...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Nina miaka 29, mfanyakazi kwenye NGO inayohusika na mambo ya UKIMWI, Nahitaji mchumba awe na umri kati ya miaka 18-25, awe hajawahi kuolewa asiwe na mtoto au watoto, asiwe mfupi sana maana ni...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
sifa zangu ni: Umri 32 yrs Dini Mkristo Elimu Degree Kazi nimejiajiri Mkoa Dar Sifa za mtu ninae mhitaji Umri 22-30 Elimu kuanzia form four na kuendelea Awe Dar au karb na Dsm
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Mke anahitajika jamani awe mrefu mweupe awe saiz ya Kati sio bonge age 21- 24 religion yoyote Nawasilisha[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] Pm ipo wazi .
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hi!!!!!!! Napatikana Dar es Salaam Nahitaj binti mwenye sifa zifuatazo Awe mweusi Awe na miaka 24-27 mi umri wangu 25 Awe na hofu ya Mungu Awe na kazi asiwe na kazi yote sawa (kama hana kazi...
2 Reactions
63 Replies
5K Views
Inaweza ikawa ngumu kwako kunielewa, na wala isiwe rahisi kuamini kwa ninachosema; ila wakati fikra zako zinapingana na post yangu, ndio wakati huo huo fikra zangu zinapingana na moyo wangu {i...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana jf mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 23 na ninasoma chuo urefu wastani na ni maji ya kunde Natafuta mpenzi wakua nae mpaka uchumba na hatimae wa mke kabisa Sifa zake sasa 1. kabila...
2 Reactions
51 Replies
6K Views
Mimi ni kijana Mwenye miaka 30, mwenye kupenda kujifunza vitu vipya kila siku either kutoka kwenye vitabu au watu au youtube and all stuff like that kifupi I'm open minded person. Niko tayari...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Umri: Kuanzia Miaka 23 - 30 Awe Mkazi wa Dar es Salaam Njoo PM tuyajenge Kama sio mlengwa kaa pembeni, kuna vitu vingi vya kufanya..
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Mimi ni msichana umri miaka 30, nipo hapa kutafuta partner atakayekuwa tayari kuwa mume wangu. Awe mkarimu, mwenye hofu na Mungu, Mkristo, awe na miaka isiyopungua 30. Mwenye nia ya dhati aniPM.
10 Reactions
65 Replies
13K Views
Habari ya leo wakuu,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 Elimu yangu kidato cha nne Umbo la mwili wangu ni mwembamba na mrefu kiasi. Kabila langu Mnyamwezi naishi Dar. Kazi yangu...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31. Elimu yangu ni bachelors degree. Ni mwajiriwa na nimejiajiri pia. Dini yangu ni Mkristo. Nahitaji mke mwenye umri wa miaka 20-32. Dini awe mkristo
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Hii, Naitwa Jophy (29yrs), Christian (KKKT) and God fearing man. Naishi dodoma. I am a university graduate and now nafanya mishe zangu hapa dodoma. I am looking for a very bright woman (girl...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wasalaam wakuu!! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, natafuta mwanamke ambaye atakuja kuwa mke wangu Wasifu wangu *Umri -26 *Elimu -Bachelor degree * Dini - muislam *Rangi- Mweusi(pure)...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Back
Top Bottom