Mwanamke wa kuzaa naye

ConsciousMan

Member
Mar 28, 2018
56
67
Habari, poleni kwa mihangaiko ya hapa na pale. Wengi wenu natumai mu wazima wa afya.

Naomba niende kwenye maada. Nipo hapa kutafuta mwanamke ambae nitazaa nae mtoto/watoto bila ya kuwa kwenye ndoa (mahusiano ya kawaida tu).
Ndoa inaweza kufata tukielewana vzuri
Umri wangu ni miaka 31, mjasiriamali.

Awe mwanamke anaejielewa
Dini yoyote
Mawasiliano ni t.rooki@yahoo.com
Pia unaweza ukani Dm
 
Nipo hapa kutafuta mwanamke ambae nitazaa nae mtoto/watoto

Mwanamke wa kuzaa naye watoto??---- yaani mwanamke anapoenda kuzaa na wewe uende kuzaa naye mtoto??!, toka lini mwanaume akazaa??, mkuu hebu fafanua vizuri kwani kama unatafuta mwanamke wa kuzaa naye hao wapo wengi sana huko mahospatalini.
 
"Ni Mwanamke wa kumpa ujauzito".

Nimeitoa akili yako kutoka kwenye reli ya kati na nimeiweka kwenye reli ya SGR. Tutamkumbuka Magu.🤣
Huo ujauzito kabla ya kumpa huyo mwanamke, ANAKUWA NAO YEYE..!?

Nimesema hivi... USIJITOE AKILI
 
Umri: 31.
Kazi: mjasiriamali
Nia: mwanamke wa kuzaa naye mtoto.

Swali 1: Ni changamoto gani unazokutana nazo katika kutafuta wanawake katika mazingira yanayokuzunguka mpaka kukupelekea kuanza kutafuta mtandaoni, ukilinganisha wewe ni mjasiriamali na nina uhakika unakutana na watu wengi katika harakati za shughuli zako, hakuna hata mmoja uliyebahatika? Kama hapana kwanini?

Swali 2: Kwanini wa kuzaa naye tu watoto na ndoa kuwekwa kama optional?? Nia yako ni watoto tu? Na kwanini watoto?

Umri wako mkuu ni ajabu sana kutafuta mwanamke wa kuzaa naye tu tena mtandaoni, lazima kuna kitu hakipo sawa kwako.
 
Kumtia uzito mwilini mwake= kumpa ujauzito au kumfanya awe mzito au kumfanya tumboni awe na mtoto, huyo mtoto akiwa tumboni huo ndiyo UZITO wenyewe yaani kujaa uzito. Hadi hapo tu akili yako bado ni kaput usindwe kuelewa???

Na Sio kuzaa naye!!!, uzae naye wewe nani kakupa ujauzito??🤣

Wewe ndiye utakuwa umejitoa akili kwa kuamini kwamba wewe mwanaume unaweza kuzaa, au wewe unaweza kuzaa??🤣🤣
 
Nimesema hivi, USIJITOE AKILI... nijuacho wewe una akili nzuri tu...
 
1.Unatafta manamke mwenye akili/ Anae jielewa akuzalie watoto bila ndoa
2. Dini yetote? Kunadini inaruhusu hivo?
3. Je ukipata alie na watoto vp?
 
Umri: 31.
Kazi: mjasiriamali
Nia: mwanamke wa kuzaa naye mtoto.

Swali 1: Ni changamoto gani unazokutana nazo katika kutafuta wanawake katika mazingira yanayokuzunguka mpaka kukupelekea kuanza kutafuta mtandaoni, ukilinganisha wewe ni mjasiriamali na nina uhakika unakutana na watu wengi katika harakati za shughuli zako, hakuna hata mmoja uliyebahatika? Kama hapana kwanini?

Swali 2: Kwanini wa kuzaa naye tu watoto na ndoa kuwekwa kama optional?? Nia yako ni watoto tu? Na kwanini watoto?

Umri wako mkuu ni ajabu sana kutafuta mwanamke wa kuzaa naye tu tena mtandaoni, lazima kuna kitu hakipo sawa kwako.
Kwani mtandaoni ni mbali saana kuliko mtaani?

Mwingine eti, "unampendaje mtu kwa kukutana nae tu kwenye daladala!?
 
Afisa usalama😆😆
 
Kwani mtandaoni ni mbali saana kuliko mtaani?

Mwingine eti, "unampendaje mtu kwa kukutana nae tu kwenye daladala!?
Huku kafika mbali.

Daladala na mtandaoni kuna utofauti mkubwa sana mkuu. Jiulize aina ya wanawake watakaomfuata PM kwa hizo sifa alizoziweka.
 
Back
Top Bottom