Nahitaji Mwanamke/Dada aliye tayari kuolewa

cemalema

Member
Feb 22, 2013
49
18
Sifa zake:
1. Mrefu awe zaidi ya futi 5
2. Muajiliwa wa serikalini
3. Dini yoyote awe mcha Mungu
4. Umri 27 adi 35
5. Asiwe na mtoto
6. Kabila na rangi yoyote/aliye jichubua rangi hapana
7. Awe tayari kucheki afya

NB;
=Nipo Dar Es Salaam
=Mawasiliano aje inbox itakuwa vema ukituma picha meseji zitajibiwa haraka⁰
 
Katafute kwa kufuata taratibu acha ushamba. Utaingizwa mkenge ujutie bure. Kumbuka unatafuta mwenza siyo rafiki wa kalamu. Kaulize wazazi wako walifanyaje badala ya kushobokea uvivu na ujinga mwanangu.
 
Sifa zako wewe zikoje mchumba, tufunge thread.
Mfupi km Pierre liquid ,
Anapendelea kuvaa pensi pana pana na sendo za dukani,
Kabila; Mluguru
Dini ;Muslim
Elimu ya secondary
Kazi; shughuli binafsi ila bado anasaka ajira,
Mshabiki wa Yanga
Chama;CCM kindakindaki

Niweke na picha ?
 
Sifa zake:
1. Mrefu awe zaidi ya futi 5
2. Muajiliwa wa serikalini
3. Dini yoyote awe mcha Mungu
4. Umri 27 adi 35
5. Asiwe na mtoto
6. Kabila na rangi yoyote/aliye jichubua rangi hapana
7. Awe tayari kucheki afya

NB;
=Nipo Dar Es Salaam
=Mawasiliano aje inbox itakuwa vema ukituma picha meseji zitajibiwa haraka⁰


Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Daaaah sim ni yako bhana hatuweziii kukupangia matumiziiii tafuta kaka utampata tuuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom