Nahitaji Mwanamke mwenye hofi ya Mungu, heshima na utii awe mke wangu

May 20, 2020
33
26
Naimani wote ni wazima namshukuru Mungu pia nami ni mzima,nimekuja mbele yenu tena maana mtafutaji hachoki na hakichoka ujuwe kapata.

Nahitaji mwanamke ambaye atakuwa Mke wangu:

SIFA ZANGU:

UMRI: 34

ELIMU: CHUO(masters degree)

KAZI: NIMEJIAJIRI.

NILIKO ZALIWA: TABORA

NINAKOISHI: DAR ES SALAAM

KABILA: BABA MNYAMWEZI MAMA MPARE.

MUONEKANO: NI MREFU JAPO SI SANA,SI MWEMBAMBA WALA MNENE SANA,MWILI WA MAZOEZI,SI MWEUPE WALA MWEUSI SANA.

SIFA ZA NIMTAKAE:

UMRI: KUANZIA 18-48

ELIMU: KUANZIA KIDATO CHA NNE NA KUENDELEA

KAZI: AWE AMEAJIRIWA AU AMEJIAJIRI(KWA KIFUPI AWE ANAJISHUGULISHA NA CHOCHOTE)

ALIKO ZALIWA: KOKOTE TUU

ANAKOISHI: POPOTE ILA KAMA DAR ES SALAAM AU PWANI UTAPEWA KIPAOMBELE.

KABILA: LOLOTE

SIHITAJI MAMBO MENGI SANA KIKUBWA NI HOFU YA MUNGU,HESHIMA NA UTII.

KWA ALIYE SERIOUS NICHEKI 0712608688

NAHITAJI ALIYE SERIOUS NA ANAYEONA HII INAMUHUSU NA KAMA UNAONA HAIKUHUSU BASI ENDELEA NA POST ZINAZO KUHUSU NA MUNGU AKUBARIKI
 
Wapo wengi sana ila tu jitahidi usiwe selective mno
Kumbuka wote K wanayo
Sura ni tofauti tofauti lakini wote wameumbwa kwa mfano wa Mwenyezi Mungu
Tabia nyingi hujificha kikubwa awe mcha Mungu
Mengine mnarekebishana mkiwa ndani pamoja usitarajie ukamilifu sana kwa mwanadamu ndo maana akaitwa mwanadamu kasoro zipo hawezi kukosa
Kila la kheri
 
Nenda kwa masista wa kanisa katoliki huku mtaaani matapeli tu au mwulize mama yako akupe mbinu
Mjomba uwe na heshima na kanisa-dola hao uliowasema wana nadhili zao takatifu. Ni aibu kwa mwanaume kutafuta mwanamke wa kuoa mtandaoni labda kama anatafuta wa kuwala kimasihara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom