Nahitaji mke mwema

Thrust

Senior Member
Oct 21, 2018
147
296
Mimi ni mwanaume nina umri wa miaka 38 Elimu yangu ni Degree. Dini yangu Mkristo. Niko single. Nipo Dar.

Sifa za mke awe na umri kuanzia miaka 30 -45. Awe Mkristo pia lazima awe Dar.

Aliye serious aje PM
 
Ina apply kote kote hiyo. Ona anavyohangaika na uzee wote huo

hapana ina apply kwa KE tu , maana ndio wanaotongozwa na kukataa au kukubali,

dume hatongozwi ( siongelei mashoga ) , sasa ataringaje ?
 
Kuringa sio lazima utongozwe.
Huyo alikuwa na swaga za mie sitakuja kuoa napiga nasepa.
Wanajipaga moyo hivyo hivyo yakiwafika kooni desparation yao huwa ni balaa afadhali ya wanawake.
 
Subiri ufike 50 bila ndoa halafu uje hapa kutueleza hayo. Ukikua utagundua kuwa ndoa sio sex peke yake.

kwa hawa 'jenereshen' ya sasa walio kimaslahi zaidi , ukifulia anaenda kugongwa 'nje' ?

bora kua alone,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom