Natafuta mume Mbena au Muhehe

Bwana na akusimamie pia akutendee vilivyo, umpate wa moyo wako aitulize nafsi yako.. wa majeshi afaae atasikia kilio chako na atakupatia njiwa wako Ee mtumishi wa alie hai isikie na uitii sauti yake yeye nae atakutendea yaliyo mema.. bwana wa majeshi na akuongoze uijenge familia salama yenye upendo na amani isiyo na makashkash wala mosukosuko! Bwana na akutie moyo wa subira..

Sema AMEN.
 
Bwana na akusimamie pia akutendee vilivyo,umpate wa moyo wako aitulize nafsi yako.. wa majeshi afaae atasikia kilio chako na atakupatia njiwa wako Ee mtumishi wa alie hai isikie na uitii sauti yake yeye nae atakutendea yaliyo mema.. bwana wa majeshi na akuongoze uijenge familia salama yenye upendo na amani isiyo na makashkash wala mosukosuko! Bwana na akutie moyo wa subira..

Sema AMEN.
Amina
 
Habari za majukumu wadau. Kama mada inavyojieleza naamini mwanaume anapatikana sehemu yoyote ile. Hitaji langu kubwa ni hilo.Mme wa mtu hapana.

Sifa zangu.
Umri :36
Nina mtoto mmoja wa miaka 5
Kazi :Nimeajiliwa serikalini
Kabila :Mbena

Sifa za Mwanaume
Umri 36:45
Awe Mbena au Muhehe
Karibu inbox mm Muhehe kabisa.
Nakidhi vigezo vyote ulivyohitaji.
 
Kuna mwagito mmoja alikuwa anatafuta mke sijui akipata. Ila najiuliza umeona nini kwa hayo makabila
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kila la heri ujaaliwe umpate wa moyo wako.

Ushauri: masharti yako ya kabila yapo kama umeagizwa na mganga na hutakiwi kuyavunja. Hata hao unaowahitaji wanaweza pata wasiwasi.
Kuna wanaume bora kwenye makabila mengine pia. Usifungwe na ukabila.
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Habari za majukumu wadau. Kama mada inavyojieleza naamini mwanaume anapatikana sehemu yoyote ile. Hitaji langu kubwa ni hilo.Mme wa mtu hapana.

Sifa zangu.
Umri :36
Nina mtoto mmoja wa miaka 5
Kazi :Nimeajiliwa serikalini
Kabila :Mbena

Sifa za Mwanaume
Umri 36:45
Awe Mbena au Muhehe

Kuna kaka fulani jirani anatafuta mke wa sifa zako.Yeye ana watoto watatu ametalikiana na mkewe miaka mitatu iliyopita.
 
Bwana na akusimamie pia akutendee vilivyo,umpate wa moyo wako aitulize nafsi yako.. wa majeshi afaae atasikia kilio chako na atakupatia njiwa wako Ee mtumishi wa alie hai isikie na uitii sauti yake yeye nae atakutendea yaliyo mema.. bwana wa majeshi na akuongoze uijenge familia salama yenye upendo na amani isiyo na makashkash wala mosukosuko! Bwana na akutie moyo wa subira..

Sema AMEN.
Naona umekuwa mhubiri
 
Habari za majukumu wadau. Kama mada inavyojieleza naamini mwanaume anapatikana sehemu yoyote ile. Hitaji langu kubwa ni hilo.Mme wa mtu hapana.

Sifa zangu.
Umri :36
Nina mtoto mmoja wa miaka 5
Kazi :Nimeajiliwa serikalini
Kabila :Mbena

Sifa za Mwanaume
Umri 36:45
Awe Mbena au Muhehe

Kila la heri, nenda ukale majungu na unafiki na viburi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom