Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Mimi ni kijana wa kiume Sifa zangu Umri miaka 28 nipo mbeya Elimu degree Mtumishi wa umma Mrefu Maji ya kunde Naitaji mwenza wa kuwa nae kimahusiano na baadae awe mke wangu wa ndoa Sifa za...
1 Reactions
6 Replies
716 Views
Ni mara ya kwanza nakuja jukwaani hapa kutafuta mwenza. Litakuwa jambo jema kama nitampata mwenye kunififkiria na kuruhusu tuishi pamoja. Kabla ya kuweka vigezo, naomba nieleze machache hapa...
0 Reactions
7 Replies
939 Views
Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam, ni kijana mwenye miaka 30 kwa sasa, pia ni mkristo. Mjasiriamali pia. Natafuta mchumba baadaye awe mke. Umri wake ni miaka 27 mpaka 30. Dini yeyote pia sichagui...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bado sijapata wakuu
4 Reactions
55 Replies
5K Views
Mimi kijana mwenye umri wa miaka 26 Nimejiajiri, nina biashara inayoniingizia kipato kila siku Rangi - Maji ya kunde Urefu - Kawaida, siyo mrefu sana wala siyo mfupi Sifa za ninaemuhitaji, awe...
0 Reactions
2 Replies
481 Views
Habari WanaJF Mimi ni mwanamke wa miaka 32 na Nina mtoto mmoja. Nimekuja jukwaa hili mahusi kutafuta mwanaume aliye single na yuko matured kujenga familia. Awe na miaka 33 na kuendelea na awe...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Natafuta mchumba atakaye kuwa mke wangu. 1. Awe ana hofu ya Mungu. 2. Elimu atleast form 6 (hata ukiwa na PhD). 3. Awe na akili za maisha na shughuli ya kumuingizia kipato. 4. Awe na...
1 Reactions
4 Replies
764 Views
Umri wangu 36, naitaji mwanamke ambaye tukiridhiana tuishi pamoja. Awe anaishi nyanda za juu Kusini, umri kuanzia miaka 28 mpaka 38. Sina vigezo vingi, asante.
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Mim ni kijana ambaye natafuta mchumba. Sifa kuu za mchumba ninayemtafuta; 1) Awe muislamu. 2) Awe serious. 3) Asizid miaka 35. Mimi sasa sifa zangu; 1) Kwasasa najishughulisha na biashara. 2)...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi kijana Umri 38, elimu kidato cha nne, rangi maji ya kunde, mwembamba, Kaz mjasiriamali. Nahitaji mwanamke wa kuoa umri 27-30, asiwe na mtoto, elimu awe kidato cha nne na kuendelea, dini awe...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Habari Mim ni mwanamke Umri wangu ni miaka 27 Makazi yangu ni Dodoma Nafanya kazi Natafuta mwenza mwenye umri kuanzia miaka 30 hadi 40 Awe ni mkristo Awe anaishi dodoma Awe na stable source of...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Mimi ni kijana 30 years, nna kazi, ni mkristo, mweusi, mrefu natafta mwanamke/mchumba/mke....awe na sifa:- -mkristo/awe tayar kubadili dini kuwa mkristo kama yeye sio mkristi -umri uwe hauzidi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu waislamu nimeamua kurudi huku tena ili kuweza kufunga mwaka vizur binafsi natafuta mke wa kiislamu asizidi miaka 35 mengine tutajadiliana Mimi ni kijana wa kiislamu ninaependa uislamu...
2 Reactions
2 Replies
456 Views
Nina miaka 38 Muajiriwa Ninatafuta mwanamke wa kuoa, sharti awe mrangi, umri 20 Hadi 28, dini yoyote, elimu yoyote.
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Mimi ni mwnanaume umri miaka 35, sina mtoto na sijawahi kuoa, kabila mchaga, dini mkristo, sina ajira kwa sasa ila nafanya vibarua. Natafuta rafiki wa kike ambaye tukielewana tuje kuwa mke na...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu, naishi kusini mwa Tanzania, natafuta mpenzi ambaye baadae MUNGU ikimpendeza anaweza kuwa mume wangu. Nina uhitaji sana sana soma wasifu wako na wangu ukiona unaendana karibu. WASIFU...
4 Reactions
71 Replies
13K Views
Mimi ni kijana umri 37, dini ni Rc. Niko mwanza natafuta mke wa kuishi naye umri 22 mpaka 30, awe mrefu kidogo mwenye chura, sichagui dini wa kabila. Asinipende sana bali aipende sana ndoa yake🙏.
1 Reactions
4 Replies
807 Views
Mm ni mdada nahitaji mume serious Sifa zangu - miaka 32 -Dini Mkristo Rc -nimeajiriwa serikalini -Sina mtoto Natafuta mwenza awe serious mwenye sifa zifuatazo -Awe mkristo -Miaka 34-48 - Asiwe na mke
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Natafuta mume serious, nina miaka 27, ni maji ya kunde. Mimi ni mwalim shule ya private ila nina watoto wawili. Natafutaa mchumba kuanzia Miaka 30 na kuendelea, akiwa serious mpaka kwenye ndoa.
28 Reactions
134 Replies
11K Views
Mi ni mwanamke wa miaka 36, nina mtoto mmoja, natafuta mume mwenye miaka 38- 45 akiwa na watoto sawa, awe tayari kumkubali mwanangu na awe baba kwake nami nitakuwa mama kwa watoto wake. Sichagui...
10 Reactions
56 Replies
4K Views
Back
Top Bottom